Changamoto za ndoa

67 wote mmeshazeeka na swala la cheating hakuna tena,ni kusaidiana na kupeana company,ila 50 ni very dangerous especially wanaume ndio utakuta wanaanza na videmu vya Gen Z
Kwa hiyo, utavunja ndoa au mtavumiliana?
 
Tegemezi kivipi mkuu? Fafanua!
Mbona watu wengi tuu wanatarikiana uzeeni na maisha yanaendelea!
Kuwa mzee haina maana uvumilie ndoa inayokuumiza mkuu.
Utakayempata uzeeni, huyo anakuja moja kwa moja kuchuma na si mapenzi, kumbuka pia uzeeni kiuchumi hakuna uzalishaji mwili, zaidi ya kutumia ulicho kikusanya ujanani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…