Changamoto za ndoa

Changamoto za ndoa

Uchukue nusu ya mshahara umekuwa loans board ila kuna wanawake matapeli kweli..
 
Anataka achukue nusu ya mshahara wa mumewe. Ikiwa kuhudumia mtoto kwa selikari mumeo anatakiwa atoe sh 20 elfu n debe moja la mahindi, kiufupi utakawa kulima ndio uje kuvuna huyo mwanaume anatakiwa aowe haraka sanaaaa
 
Kwa kifupi tu kama hii stori ni ya kweli huyo Mwanamke hajitambui kabisa.
 
Kupanga ni kuchagua, Dunia isimame mie nishuke lol, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom