Changamoto za ndoa

Changamoto za ndoa

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
58,636
Reaction score
220,350
1617927242060.png
 
Bruce is busy watching and admiring beautiful and sexy asses.
No those are the birds enjoying a sun bath
Kimbembe hapo huyo jinamizi nae akipanda huko juu, ingawa naamini kabisa huyo Mwamba hatoruhusu hilo litokee hata kwa asilimia 3.

Mwamba yupo tayari kuanguka na kuvunja kiuno kuliko hiyo ngazi kumfikisha huyu wa chini.
hapa unapigwa mkwara ukipanda na kuanguka utajiuguza mwenyewe wewe mwanamke.
 
Yeah! “Birds” enjoying a sun bath according to the husband 😜 ila kupiga chabo watu wako tayari hata kuuweka uhai wao hadharani ili wamchungulie mdada akiwa uchi au washuhudie watu wakiwa busy kupeana utamu.
No those are the birds enjoying a sun bath

hapa unapigwa mkwara ukipanda na kuanguka utajiuguza mwenyewe wewe mwanamke.
 
Yeah! “Birds” enjoying a sun bath according to the husband ila kupiga chabo watu wako tayari hata kuuweka uhai wao hadharani ili wamchungulie mdada akiwa uchi au washuhudie watu wakiwa busy kupeana utamu.
Yaani we jamaa hata kuandika ni shida. Watu wanawekaje uhai "hadharani"?. Sema "rehani au rahani".......unajuaga tu kupost utopolo wako wa wachungaji.
 
when you are busy looking at the other woman
there are two men looking at your woman
appreciate what you have
 
Back
Top Bottom