Hiyo ya kimombo nimeipenda sana ingawa sijui kukisomaBinti haelewi namna mama yake anavyopelekwa kwa mparange.....
Yeye anaangalia muonekano tuu kuwa sio type ya mama ....π.
Well, to senior parents. If you are single.
Try your level best not to show your love relationship to your child until they have their own families if you are still alive.
Itβs all about your children without expecting return from them.
Mungu anisamehe, mimi siamini kuwa kuna kitu kinaitwa Zinaa unless unabakaWengine hawapendi zinaa
Mbarikiwe[emoji7]If you have played your cards well at this age you are financially comfortable.
Safi kabisa. Huyo dogo ni jembe. Anajua tofauti ya mwanaume baba na mwanaume boyfriend wa mama.Mtoto wa sista angu (binti) aliwahi kumtoa mkuku jamaa alikua anamzengea maza ake (singo maza) kwa kumuambia kwamba haendani nae wala yeye sio type ya mama yake..[emoji1787][emoji1787]
Umri wa mwanamke kutafuta mahusiano serious ni kuanzia 16 hadi 25. 26 hadi 30 ni kujaribisha kupata mtu serious. 30 kwenda juu huko sasa ni kutokuwa serious na maisha ya mahusiano.Hivi mkuu kitaalamu, mdada mwenye 40+ anatakiwa awe na mwanaume mwenye umri gani ili asionekane wa ajabu? Maana wanaume wenye above 40 preference zao ni wadada wenye below 30. Mdada akiwa na kijana wa below 35 anaonekana anapenda dogodogo, na kijamii haikubaliki.
Kwa suala la watoto wakike kudhania kuwa mama wa kambo ni gold digger tuseme ukweli wanakuwa wapo sahihi kabisa.Katika umri wa 40+ wengi wanakua na watoto, iwe kwenye ndoa au nje ya ndoa. Ni nadra kumkuta mtu wa 40+ hana mtoto.
Ni mimiCastr huyo kwa avatar ni mdogo wake Kala Jeremiah
Watoto wataondoka wakaanze miji yao, maisha ya upweke ni mabaya sana. Umri unavyokwenda wengine wanaishi kwa msaada wa dawa za moyo na kisukari. Ukiwa na mtu wa kukuletea glass ya maji inaleta faraja.Hii situation ikinitokea at that age nakaa mwenyewe tu, sitahitaji mke tena, ni kulea wanangu tu baasi
Kupanga ni kuchagua
Hahaha hata wa kiume wengine wana tabu, jamaa mmoja yeye nusura apigwe na vijana wa liume wa mpenzi wake, tena walimpiga mkwara wakamwambia wasimuone popote na mama yaoKatika umri wa 40+ wengi wanakua na watoto, iwe kwenye ndoa au nje ya ndoa. Ni nadra kumkuta mtu wa 40+ hana mtoto.
Pale mtoto anapojua type za mama yakeMtoto wa sista angu (binti) aliwahi kumtoa mkuku jamaa alikua anamzengea maza ake (singo maza) kwa kumuambia kwamba haendani nae wala yeye sio type ya mama yake..[emoji1787][emoji1787]
Nadhani ni kujiendekeza tu. Kuletewa glass ndio iwe sababu ya kuoa?! Me naoa niwe na partner ila sio mtumishi wa kunihudumia......Watoto wataondoka wakaanze miji yao, maisha ya upweke ni mabaya sana. Umri unavyokwenda wengine wanaishi kwa msaada wa dawa za moyo na kisukari. Ukiwa na mtu wa kukuletea glass ya maji inaleta faraja.
Najiona kabisa nikiwa na miaka 40 HIVIHIVI single.Katika umri wa 40+ wengi wanakua na watoto, iwe kwenye ndoa au nje ya ndoa. Ni nadra kumkuta mtu wa 40+ hana mtoto.
Katika harakati za maisha wengine wameachana na wenza wao na wengine kufiwa. Kwa kuepuka upweke wengi hutafuta mtu wa kuliwazana nae.
Mnapokutana wawili kufahamiana na kuona kama mtawezana hiki ni kipengele A cha mtihani. Kipengele B ni kukutana na watoto.
Mara nyingi watoto wa kiume hawana matatizo. Usiombe ukutane na mabinti. Kwanza watakulinganisha na mama yao au baba yao Watataka kujua unafanya kazi gani. Hapa sasa ndipo panakuja swala la U-gold digger. Wanafikiri ulimpenda baba yao au mama yao kwakua ana mali. Kumbe mwenyewe umesharidhika na maisha yako ila ni huyu baba yao au mama yao ndiye anaekuhitaji mno katika maisha yake.
Sasa glass ya maji si ni sehemu ya maongezi. Hakuna kitu mta enjoy kama maongezi. Mkiwa umri mmoja mtamkumbuka Maneti wa Vijana Jazz na Marijani Rajabu.Nadhani ni kujiendekeza tu. Kuletewa glass ndio iwe sababu ya kuoa?! Me naoa niwe na partner ila sio mtumishi wa kunihudumia......
Umeshawahi kutana na hali hiyo? Pole sana.Katika umri wa 40+ wengi wanakua na watoto, iwe kwenye ndoa au nje ya ndoa. Ni nadra kumkuta mtu wa 40+ hana mtoto.
Katika harakati za maisha wengine wameachana na wenza wao na wengine kufiwa. Kwa kuepuka upweke wengi hutafuta mtu wa kuliwazana nae.
Mnapokutana wawili kufahamiana na kuona kama mtawezana hiki ni kipengele A cha mtihani. Kipengele B ni kukutana na watoto.
Mara nyingi watoto wa kiume hawana matatizo. Usiombe ukutane na mabinti. Kwanza watakulinganisha na mama yao au baba yao Watataka kujua unafanya kazi gani. Hapa sasa ndipo panakuja swala la U-gold digger. Wanafikiri ulimpenda baba yao au mama yao kwakua ana mali. Kumbe mwenyewe umesharidhika na maisha yako ila ni huyu baba yao au mama yao ndiye anaekuhitaji mno katika maisha yake.
Starehe ya wazazi Ina muhusu Nini huyo mtoto. Kuwazaa kunatosha, hata baba Yao Kuna kitu anakipata kwa gold digger we live by depending each other.Kwa suala la watoto wakike kudhania kuwa mama wa kambo ni gold digger tuseme ukweli wanakuwa wapo sahihi kabisa.
Mwanamke anaangalia huduma sio kupenda. Wao ni wanawake so wanalijua hilo kabisaaaa
We suspect everybody, even a dead body.Maisha aisee!!Ni mwendo wa kumshuku kila mtu.Bianadamu tumezaliwa na asili ya uchoyo na ubinafsi sana iwe ni kwa mtoto au mtu mzima.Usiogope watakavyokuchukulia awali kwa sababu hauna nia ovu.Pambana usikate tamaaππππ