julius caesar
Member
- Mar 20, 2015
- 94
- 27
Habari wakuu, natumaini mko poa.
Leo ningependa kutoa ushuhuda wangu juu ya changamoto za kupata wachumba wa mtandaoni.
Muda mrefu umepita niliwahi kutuma post ya kutafuta mchumba wa kuoa hapa Jamii Forum, nashukuru Mungu baadhi ya wasichana wali respond vizuri nikafanya nao mawasiliano then nikaamua kuchagua mmoja ambae niliona ananifaa, sema tatizo yeye alikuwa anaishi mkoa mwingine na mmi naishi mkoa mwingine, lakini mmi niliamua kumkubalia tuwe pamoja kwa sababu niliamini po siku tungeonana pengine ningeweza kwenda mkoani anapoishi au yeye kuja ninapoishi.
Tulianza kuishi kama wapenzi kwa mawasiliano lakini changamoto iliyojitokeza yule binti alianza kuniomba pesa za matumizi nimtumie lakini mmi sikumpa nilimwambia sina baada ya hivyo binti akaanza kulalamika kuwa mmi simpendi na mambo mengine mengi!, Hivi wandugu kweli inawezekana kumhudumia mpenzi ambae hujawahi kuonana nae live yani face to face? Ambae pia bado hujamsoma tabia yake vizuri zaidi?
Sio siri huyo binti moyo wangu ulimpenda sana, lakini ilikuwa ni mapema sana kumuamini, hizo pesa alizohitaji nilikuwa na uwezo wa kumhudumia sema sijawahi kumuona live nimeona picha zake tu na tumewasilana kwenye simu tu, ningependa maoni yenu wadau kwenye hili.
Hivi huyu binti anastahili kutumiwa pesa kweli?