Changamoto za kuoa ukiwa “Senior Bachelor”

Hawa wanawake wa miaka hii bila kuchagua sana matokeo yake ndio hizi ndoa zinadumu miezi 6!
 
Hawa wanawake wa miaka hii bila kuchagua sana matokeo yake ndio hizi ndoa zinadumu miezi 6!
Hakuna jinsi kwa umri wetu wa 34yrs..inabidi tuoe single mothers

Maana range ya mademu wenye 26-30 ni nadra saana kukuta hana mtoto..so tuwe wapole..kuna single mothers wapo committed na familia..

Cha msingi mtaweka roadmap ya maadili ya kuhandle familia yenu

Ila mwanamke mwenye watoto wawili siwezi kumuoa but mwenye mtoto mmoja nitamuoa maana sisi ndio tulichelewa so tukubaliane na hali hii bila kinyongo

Sent using Jamii Forums mobile app
 

You said it all, yani mimi nililijua hilo nikajiwahia mapema kuoa. Pia kuhusu swala la kuoa mtu aliyezaa mimi ni kitu ambacho sikubaliani nacho hata kidogo, hapa nilipata tabu sana kwenye kuchagua mpaka nikaoa kabila ambalo .......anyway back to the topic, wale wenye watoto niliyowahi toka nao wengi kama siyo wote mpaka sasa hawajapata wa kuwaangushia zigo. Mmoja nasikia anasema kwani kuolewa kitu gani mbona walioolewa kila siku wanalalamikia ndoa zao(yeye kagonga 33 this year) . Haya mambo ni magumu sana. Wito wangu kwa wadada, msikimbilie kuzaa mkijua ndiyo mtapendwa, utatumiwa tu.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa unakuta mwanaume hana mashine anafua mwenyewe, anapika mwenyewe, anapasi mwenyewe, chakula chake kitamu kuliko cha wanawake wengi, anaosha vyombo mwenyewe, akienda shopping anajua viungo vyote hadi tenderriser na hasahau kutokununua hata kimoja.

Sufuria zake saafi anazisugua na steelware kuchwao, anapata wageni wa kike na wa kiume kila weekend, akienda kazini ana pack chakula alichopika yeye, Wanawake wake hawapiki anawapikia wanasubiria chakula chake huku wanaangalia +EVA. Anaalikwa kwenye sherehe anahudhuria hasahau.


Sasa huyu aoe ili iweje? Anachokosa nisex tu.
 
Wanawake wenye watoto wametulia sana lakini wengine hatuwezi kuwaoa.
 
Mwanaume usijidanganye umemaliza shule ukapata kazi ukasema ngoja nijikusanye nitaoa...ikishapita zaidi ya miaka 5....utasahau kurudi.

Wengi tunasema ngoja nijikusanye...
 
Inabidi aoe kama anataka familia. Mfano mimi nataka nioe ili niwe na familia na sio kupata wa kunipikia au kufua kwasababu house girls wapo kibao.
Talking about sex inapatikana muda wote haiwezi kuwa kigezo cha kutafuta mke
 
Mwanaume usijidanganye umemaliza shule ukapata kazi ukasema ngoja nijikusanye nitaoa...ikishapita zaidi ya miaka 5....utasahau kurudi.

Wengi tunasema ngoja nijikusanye...
Miaka 5 kidogo, shule wengi wanamaliza 22-26
 
Lakini wote ni single mothers.

Mimi.huwa nawaza ujinga inapofika kutaka kumchukua single mamy, kwamba ina maana.huyu kafumuliwa sana mpaka kazaa?? Hamu inaisha.
 
Inabidi aoe kama anataka familia. Mfano mimi nataka nioe ili niwe na familia na sio kupata wa kunipikia au kufua kwasababu house girls wapo kibao.
Talking about sex inapatikana muda wote haiwezi kuwa kigezo cha kutafuta mke
Kama unawaza familia hongera saana,

Nilidhani wengi tunapwaya sehemu nyingi na kujiona tunahitaji wasaidizi.
 
I can't plan to fail, am being optimistic at 36 bila ndoa NO basi kosakosa nshatambulishwa ukweni na mahari imelipwa nusu hahaaa

Mambo yasiwe mengi, mengi yasiwe mambo
All the best
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…