Changamoto za kuoa ukiwa “Senior Bachelor”

Changamoto za kuoa ukiwa “Senior Bachelor”

Unatakiwa uchelewe ili ujijenge kiuchumi+carrier na kiakili ...mixer ule bata/ujana sana uwagonge sana mpaka ukinai ndo uoe, habari za umetoka chuo tu miaka 2/3 mbele unaoa ni ufala


Yaan umeoa unaanza kuwaza sijui ukachukue masters /PhD sijui ufungue biashara sijui ununue gari/nyumba ....mara unatamani uende club au unatamani kutoka na pisi Kali,hivyo vitu vyooote inabidi uvifanye kabla hujaoa ...ukishaoa unakaa na binti wa watu mnajenga familia
wewe umeshaoa?
 
Yawezekana mitazamo inafanana ila Rrondo ana busara,ni mtu mzima kidogo..huwezi mlinganisha na Lizarazu aliye kwenye 20's
Yaani akianza kubwabwaja hadi kichwa kinauma chaa!ana maneno makali mno anayoyaropoka popote.

hapo kwenye utoto sasa ndio umemaliza, yule mtoto anaropoka tu chochote wakati huyu mwingine anachagua nini cha kuongea na nini asiongee ila mitazamo yao inafanana niamini mimi.
Duh
 
Back
Top Bottom