Marwa_J_Merengo
JF-Expert Member
- Aug 6, 2018
- 4,511
- 6,892
Usukumani ni 17 yrs kama hukwenda shuleSenior bachelor inaanza ukiwa na umri gani?
Usukumani ni 17 yrs kama hukwenda shuleSenior bachelor inaanza ukiwa na umri gani?
Mbona mimi naona kama umetumwa[emoji16][emoji16]Hakuna aliyenituma
...😘😘😘...safi sana.Wanaoelewa wanaelewa, wanaojua wanajua tuuu.... baki hivyo hivyo...
The older you get, the wiser and better choices u make..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mbona mimi naona kama umetumwa[emoji16][emoji16]
Nipe basi yule kaka yako uliyesema umemmisi[emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nimejituma mwenyewe
Uwiii[emoji86][emoji86]Nipe basi yule kaka yako uliyesema umemmisi[emoji16][emoji16]
Yaani Lizarazu umlinganishe na Rrondo???Sasa tofauti ya RRONDO na huyo niliyemtaja ni nini[emoji16][emoji16]
[emoji16][emoji16] hapo kwenye utoto sasa ndio umemaliza, yule mtoto anaropoka tu chochote wakati huyu mwingine anachagua nini cha kuongea na nini asiongee ila mitazamo yao inafanana niamini mimi.Yaani Lizarazu umlinganishe na Rrondo???
Acha utani[emoji1787]
Rrondo Gentleman sana
Yule bado mtoto.
Yawezekana mitazamo inafanana ila Rrondo ana busara,ni mtu mzima kidogo..huwezi mlinganisha na Lizarazu aliye kwenye 20's[emoji16][emoji16] hapo kwenye utoto sasa ndio umemaliza, yule mtoto anaropoka tu chochote wakati huyu mwingine anachagua nini cha kuongea na nini asiongee ila mitazamo yao inafanana niamini mimi.
[emoji16][emoji16][emoji16] huyo nadhani ni bora zaidi maana ni rahisi kudeal nae...unakuwa unajua anafikiria niniYawezekana mitazamo inafanana ila Rrondo ana busara,ni mtu mzima kidogo..huwezi mlinganisha na Lizarazu aliye kwenye 20's
Yaani akianza kubwabwaja hadi kichwa kinauma chaa![emoji1787][emoji1787]ana maneno makali mno anayoyaropoka popote.
Lizarazu hafai[emoji1787][emoji16][emoji16][emoji16] huyo nadhani ni bora zaidi maana ni rahisi kudeal nae...unakuwa unajua anafikiria nini
[emoji16][emoji16][emoji16] Leo naona umeniamulia unanigawia wachumba tu, bahati mbaya sasa unanigawia kaka zangu hivi kwa nini usiniunganishe na yule nanihii yuleHapana
Hafai
Rrondo anafaa sana..
Au yule the Don[emoji85][emoji2096]
Yaani huo ukaka inabidi ufe tu jamani mwee!![emoji16][emoji16][emoji16] Leo naona umeniamulia unanigawia wachumba tu, bahati mbaya sasa unanigawia kaka zangu hivi kwa nini usiniunganishe na yule nanihii yule
[emoji16][emoji16][emoji16] nitakuambia kesho...hawa achana nao. They're out of my leagueYaani huo ukaka inabidi ufe tu jamani mwee!!
Nikugawie yupi???
Mwee nasubiri.[emoji16][emoji16][emoji16] nitakuambia kesho...hawa achana nao. They're out of my league
[emoji16][emoji16][emoji16] humjui..niamini mimi, sijui hata unamfikiria nani aiseeMwee nasubiri.
Kesho asbh na mapema nakutext[emoji85]
Ila mbona kama nimeshamjua[emoji1787]
Machale yamenicheza[emoji23]
Yule bro mstaarabu Sana sijaona kama yeye..atakufaa Sana [emoji4]
[emoji848]Nadhani ni huyohuyo[emoji16][emoji16][emoji16] humjui..niamini mimi, sijui hata unamfikiria nani aisee
Nitajie kwa code[emoji848]Nadhani ni huyohuyo
Ngoja nije kukutajia[emoji2096]