Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,897
- 67,376
Bwashee kuna mdada kanipa bia , hajanipa na tishu ya kusafisha glass nifanyaje😅Inasikitisha sana mkuu 😂
Huyo kamsemee kwa Meneja 😎Bwashee kuna mdada kanipa bia , hajanipa na tishu ya kusafisha glass nifanyaje😅
Mwachi anataka kutufahamisha ana miliki usafiri na wala sio changamoto , kama una d mbili hii nyepesi sana bwashee 🤣Huyo kamsemee kwa Meneja 😎
Lazima awajibikewew unahisi utaweza mfanya nin utamlipisha ilihali hana huo uwezo
hiyo ni ajali kazini samehe pita hivi
😂😂😂😂 akii hii nimechekaa sana dah ila wamatumbiMwachi anataka kutufahamisha ana miliki usafiri na wala sio changamoto , kama una d mbili hii nyepesi sana bwashee 🤣
Ndio sisi bwashee, niaje lakin mwanangu?😂😂😂😂 akii hii nimechekaa sana dah ila wamatumbi
Mwachi anatupanga😅Uko sahihi, pia mchape vibao huyo waiter😎
Mkuu Kwa haya maji ya shida , unaamini waoshaji kweli, Mimi ni mwendo wa tarumbeta TUBwashee kuna mdada kanipa bia , hajanipa na tishu ya kusafisha glass nifanyaje😅
kwa namna ganiLazima awajibike
Bwashee kama gari naweza iacha bar kama dhamana ya kreti mbili za bia tu kwa nini nione vigumu kuamini hao😅Mkuu Kwa haya maji ya shida , unaamini waoshaji kweli, Mimi ni mwendo wa tarumbeta TU
Ngoja tumpambe ili tuokoteMwachi anataka kutufahamisha ana miliki usafiri na wala sio changamoto , kama una d mbili hii nyepesi sana bwashee 🤣