unategemea nn kazi chache waombaji ni maelfu lazima system ichanganyikiwe ..Habari zenu wakuu, mimi ni muathirika wa hili janga la ukosefu wa ajira linalotusumbua vijana wa kitanzania kila uchwao, nimekuwa nikifanya bidii za kutafuta kazi bila kuchoka kwani naamini kuwa mtafutae huwa hachoki.
Sasa niende moja kwa moja kwenye hoja, ni kwamba serikali kupitia Utumishi wana system yao inayoitwa Ajira portal ambayo inampa mwananchi nafasi ya kuomba kazi za serikalini.
Kwakweli system hii tangu ifanyiwe marekebisho imekuwa moja kati ya system mbovu ambazo nazijua, kila ninapoomba kazi za serikalini kupitia Ajira portal naambiwa failed huwezi kuomba kazi hii kwakuwa hujakidhi vigezo, wakati ukweli ni kwamba nimekidhi vigezo vyote wanavyotaka na pia vigezo vinavyotakiwa kwenye kazi husika.
Jambo hili limekuwa sugu kiasi cha kwamba si mimi peke yangu ninayeilalamikia system hii bali tupo wengi na hata tunapowatumia msg kupitia namba walizoweka hawajibu lakini tunapowapigia simu wanatoa majibu mepesi as if system haina tatizo lolote.
Tunaomba wahusika waliangalie hili mapema au kama sivyo basi tutaamini kuwa jambo hili ni mpango mkakati wa wahusika kupeana kazi kwa kujuana.
NawasilishaView attachment 1453119View attachment 1453119
Mbn mwanzo ilikuwa inakubali? Au watu walikuwa wachacheunategemea nn kazi chache waombaji ni maelfu lazima system ichanganyikiwe ..
zamani waombji walikuwa wengi ila hawaelemei mfumo ila sasa wamezidiwa na vigezo vimekuwa vigumu zaidi ..Mbn mwanzo ilikuwa inakubali? Au watu walikuwa wachache
Habari zenu wakuu, mimi ni muathirika wa hili janga la ukosefu wa ajira linalotusumbua vijana wa kitanzania kila uchwao, nimekuwa nikifanya bidii za kutafuta kazi bila kuchoka kwani naamini kuwa mtafutae huwa hachoki.
Sasa niende moja kwa moja kwenye hoja, ni kwamba serikali kupitia Utumishi wana system yao inayoitwa Ajira portal ambayo inampa mwananchi nafasi ya kuomba kazi za serikalini.
Kwakweli system hii tangu ifanyiwe marekebisho imekuwa moja kati ya system mbovu ambazo nazijua, kila ninapoomba kazi za serikalini kupitia Ajira portal naambiwa failed huwezi kuomba kazi hii kwakuwa hujakidhi vigezo, wakati ukweli ni kwamba nimekidhi vigezo vyote wanavyotaka na pia vigezo vinavyotakiwa kwenye kazi husika.
Jambo hili limekuwa sugu kiasi cha kwamba si mimi peke yangu ninayeilalamikia system hii bali tupo wengi na hata tunapowatumia msg kupitia namba walizoweka hawajibu lakini tunapowapigia simu wanatoa majibu mepesi as if system haina tatizo lolote.
Tunaomba wahusika waliangalie hili mapema au kama sivyo basi tutaamini kuwa jambo hili ni mpango mkakati wa wahusika kupeana kazi kwa kujuana.
Soma ile user manual iliyoko pale kwenye portal ikuelekeze na unaweza wapigia simu kupitia namba za simu zinazopatikana kwenye portal ili wakusaidie. Mfumo sasa umekuwa mzuri sanaMimi tatizo ku update namba ya Nida, kila nkieka naulizwa maswali ma 5, nayajibu namaliza nkienda ku apply naambiwa sijaweka namba ya nida..
Sent using Jamii Forums mobile app
Soma ile user manual iliyoko pale kwenye portal ikuelekeze na unaweza wapigia simu kupitia namba za simu zinazopatikana kwenye portal ili wakusaidie. Mfumo sasa umekuwa mzuri sana
hahaha achaga bas umekuwa et hahahaha ichanganyikiwe nn sasa hahahahaunategemea nn kazi chache waombaji ni maelfu lazima system ichanganyikiwe ..
Mkuu huwa wanashortlist.Naomba kuuliza kwa wanaofahamu,hivi Ajira Portal huwa wanashotlist majina kabla ya kuwaita kwenye interview sababu naona majina mengi mno kwa nafasi chache kama hakuna aliyekuwa shortlisted vile, au wanashortlist watu baada ya interview ila mkiapply mnaitwa wote.
Kwa waliokidhi vigezo vya tangazo la kazi na si vinginevyowanaita wote ambao wameapply hio kazi na wapo qualified mkapambane vizuri kwenye written
Sent using Jamii Forums mobile app
qualified = kukidhi vigezoKwa waliokidhi vigezo vya tangazo la kazi na si vinginevyo