Kuna Mwanafunzi wa Kidato cha Sita Shule ya Sekondari Makongoro iliyopo mkoani Mara - Bunda Vijijini kachapwa viboko na Walimu takribani 30 mpaka amefariki Dunia, tukio limetokea SaaSaba Mchana Agosti 19, 2026.
Jeshi la Polisi latoa tamko ~ RPC Mara: Ni kweli Mwanafunzi wa Form 6 amefariki...
Shule ya Sekondari Nsongwi Juu (Mbeya Vijijini) imekuwa shule yenye utawala mbovu imefikia hatua mpaka Walimu wanashindwa kufanya kazi kwa sababu ya utawala huo. Kesi zimekuwa nyingi zimefika mpaka kwa Afisa Elimu Kata na Afisa Elimu Wilaya lakini hazitatuliwi, sasa hatujui shida ni nini...
Anonymous
Thread
changamoto
mbeya
mbovu
sekondarishuleshuleyasekondari
utawala
utawala mbovu
vijijini
Hoja ya awali ya Mdau ~ Shule ya Sekondari Kipande, Wilayani Nkasi - Rukwa haina madawati, Wanafunzi wanakaa chini
Mtakumbuka tarehe 15/07/2026 mtandao wa Kijamii wa JamiiForums ulitoa taarifa kuwa wanafunzi wa Shule ya Sekondari Kipande iliyopo Halmashauri ya Wilaya ya Nkasi mkoani Rukwa...
Habari za muda huu ndugu wapenzi wa jukwaa hili la JamiiForums.
Kuna Mwalimu Mkuu wa Shule ya Sekondari ya Ikulu iliyopo jijini Mbeya, anaye julikana kwa jina la Godfrey Sitayila amekuwa kero kubwa sana kwa wazazi wa wanafunzi wanaosoma shuleni hapo.
Amekuwa akitoa kauli ambazo siyo nzuri kwa...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Simiyu limefanikiwa kuwakamata watu wawili kwa tuhuma za kuhusika na mauaji ya aliyekuwa Mhandisi wa Maji wa RUWASA Wilaya ya Busega, Safiel Peter Senzota (37). Tukio hilo lilitokea tarehe 25 Mei 2026 katika eneo la Mwanogi, Wilaya ya Busega.
Baada ya uchunguzi wa...
Pongezi sana ndugu Ngassa Benard Mahangila kwa kuchaguliwa kuwa mfanyakazi hodari katika halmashauri ya mji wa bunda kwa kuchaguliwa kuwa mfanyakazi hodari ndani ya halmashauri. Nafikiri pongezi hizi zinastahili kabisa na hazina walakini.
Kusimamia mradi wa ujenzi wa shule ya sekondari Nyasura...
Walimu wa sekondari wailes wanaongoza kwa kubuni michango shule ni tatizo ni nini? Mtoto asipoenda kusoma jumamosi anadaiwa tofali 5 mpaka 10 za sementi na hela aliyotakiwa kulipa jumamosi anailipa pia ingawa hakusoma, walimu wakujitolea wazazi ndio wanakiwa kuwalipa kwa mwezi 2000,
Kuna kusoma...
Mimi ni mwalimu wa Shule ya Sekondari katika Halmashauri ya Arusha DC.
Hivi karibuni wanafunzi wa kidato cha nne walifanya mitihani ya pre-mock, ambapo kila mwanafunzi alitozwa shilingi 12,000 kwa madai ya kugharamia usahihishaji wa mitihani hiyo.
Cha kushangaza na kusikitisha ni kwamba...
Anonymous
Thread
arusha
halmashauri
karibuni
katika
kidato
kidato cha nne
mimi
mitihani
mwalimu
sekondarishuleshuleyasekondari
wanafunzi
Kuna kero inawakumba wazazi wenye katika shule ya sekondari Ipala. Mwaka jana serikali ilitoa mahindi kwa ajili ya chakula shuleni na mwanafunzi ikalazimu kwenda na mia sita kila siku kwa ajili ya mboga.
Mahindi yameisha wanafunzi wametangaziwa kwenda na 1400/= kila siku kwa ajili ya chakula...
WAZIRI MKUU AWEKA JIWE LA MSINGI SHULE YA SEKONDARI MGOMBE YENYE MKONDO WA AMALI YA KIHANDISI, KATAVI
WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba leo Machi 15, 2026 ameweka jiwe la msingi la Shule ya Sekondari Mgombe yenye mkondo wa Amali ya Kihandisi iliyopo katika Halmashauri ya Wilaya ya Mlele, mkoani...
Ni mmoja wa wazazi wa mtoto anae soma shule ya Sekondari Makurunge iliyopo mkoa wa Pwani, wilaya ya kisarawe kata ya Kiluvya.
Walimu wa shule hii ya Sekondari wameanzisha mradi binafsi wa kujenga hostel za kukaa wanafunzi hivyo wamekua wakilazimisha wanafunzi hasa wa kidato Cha pili na nne...
Anonymous
Thread
hostel
katika
kidato
kidato cha nne
kisarawe
kulazimishwa
makurunge
mimi
mkoa
mwanafunzi
mzazi
pili
sekondarishuleshuleyasekondari
wanafunzi
Nina rafiki yangu ambaye mtoto wake anasoma Shule ya Sekondari Kisungu iliyopo Kinyerezi Dar es salaam. Alikuja kwangu kuniuliza iwapo kwenye saiti yangu nimebakiza walau tofali 20. Nilimuuliza tofali hizo anazihitaji kwa ajili ya nini, ndipo akaniambia kuwa mtoto wake alichelewa kufika shuleni...
Kutokana na uhitaji mkubwa wa wanafunzi wanaotaka kuhamia Shule ya Sekondari Nyampulukano iliyopo Sengerema mkoani Mwanza, upande wa mabweni lakini kukosa nafasi, hali hiyo imewasukuma wadau mbalimbali kujitolea kujenga bweni jipya litakaloongeza uwezo wa shule hiyo kupokea wanafunzi wengi zaidi...
Akiwa wilayani Bahi mkoani Dodoma leo Jumanne Septemba 09, 2025 kwenye muendelezo wa kampeni zake kuelekea uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025, Mgombea Urais wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dkt. Samia Suluhu Hassan amesisitiza kuwa wanafikiria kujenga mabweni kwa shule za Sekondari...
Maabara za kisasa ambazo zinatumika katika Shule ya Sekondari ya Philipo Mulugo iliyojengwa kupitia mradi wa SEQUIP katika Kata ya Udinde Halmashauri ya Wilaya ya Songwe.
#KurayakwanzakwaSamia
#Haijapatakutokea
Wadau wa maendeleo waishio nje ambao wanatoka katika kata ya Lupalilo wilayani Makete mkoani Njombe, wamekabidhi mfumo wa sola wenye thamani ya shilingi milioni 20 kwa shule ya Sekondari Ilumaki ili nishati ya umeme ipatikane shuleni hapo muda wote
Sola hizo zimekabidhiwa Julai 24, 2025 na Dkt...
Mkuu wa Wilaya Rombo, Raymond Mwangwala (watatu kulia) akipokea mfano wa hundi yenye thamani ya shilingi milioni 10 kutoka kwa Mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi ya CRDB Bank Foundation, Coletha Ndunguru (wapili kushoto) kwa ajili ya kuchangia ununuzi wa vifaa vya ujenzi wa uzio wa Shule ya Sekondari...
Hatimaye ndoto ya kupata shule ya sekondari ndani ya kijiji cha Nyashimba(M)wilaya ya Maswa mkoa wa Simiyu inaanza kutimia! Baada ya kilio cha muda mrefu kutoka kwa wazazi na walezi, wananchi wa kijiji hicho wameamua kuchukua hatua—kuanza ujenzi wa shule yao ya sekondari kwa kutumia michango ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.