Tochinoshin
Member
- Feb 14, 2024
- 97
- 149
Hahahaa
Chagua zinazokuhusu moja kwa moja...
Zingatia MIEZI...na kama ni potential kwamba watakuja kukuchangia
Otherwise sio lazima
Me huwa namwambia mtu huyu hanihusu kivile na tayari huo mwezi nna kadi so ampe kadi mtu mwingine.
Manake ndio mwanzi wa mikopo...ya kukaushana

nina kadi 8 za harusi kila moja kima cha chini single ni 70