Changamoto ya maji mjini Moshi

commm

JF-Expert Member
Sep 6, 2019
1,674
1,905
Tokea siku ya Jumatano.

Maji hayatoki kwa baadhi ya maeneo hapa Moshi.

Sasa sijajua tatizo ni nini, Na mbona kama kuna tatizo, nyie idara ya usimamizi wa Maji hapa moshi mbona hamtoi taarifa ya kukatika kwa maji kwa siku zote hizo hadi kufikia leo Jumapili ni patupu.

Watu wengine wanashinda kuendelea na shughuli zao kwa sababu hii ya ukosefu wa maji.

Sasa inafikia hatua hata usafi huwezi kufanya.

Aaaah! Hii ni changamoto kwa kweli
 
Poleni sana, wangetoa taarifa kwa wakazi kupitia hata redio Kili, Moshi
 
Poleni Sana,Mimi ni Mkazi wa Moshi,Tatizo ni Kweli Lipo na Hii ni Kutokana na Mvua Zilizopita Hivyo Tope Limeingia Visimani na Kwenye Mabomba.
 
Poleni Sana,Mimi ni Mkazi wa Moshi,Tatizo ni Kweli Lipo na Hii ni Kutokana na Mvua Zilizopita Hivyo Tope Limeingia Visimani na Kwenye Mabomba.
Hakika hii hali inakera sana
 
Back
Top Bottom