Palac
JF-Expert Member
- Mar 29, 2025
- 2,828
- 7,444
Achana na Seran kuna mzigo mpya saizi 2006 mpaka 2008 wameingia sokoni tayariWakuu kwemeni na hamjamboni aisee nimekumbana na changamoto ya namna nzuri ya kutumia Jf
1.Nashindwa kuwatag watu niwapendao mf.Seran
2.Nashindwa kudouble reply
3.Nashindwa kuquote uzi kama afanyavyo Mshana Jr na miamba wengine
Msaada