Bila picha mzee baba1. Upande wa ticket SGR miyeyu, unakata online ukifika station unapanga bonge la foleni kuprint ticket.
2. Wanayoyaita mabehewa ya VIP wala sio VIP, tofauti yake na 'economy class' ni mpangilio wa siti tu 2x2 vs 3x2.
3. 'Mashine za kuscan ticket' upite hazifanyi kazi.
Eeh! Yaani karne hii bado kuna usafiri wa 3 x 2?!!! Aisee hapo tumebugi1. Upande wa ticket SGR miyeyu, unakata online ukifika station unapanga bonge la foleni kuprint ticket.
2. Wanayoyaita mabehewa ya VIP wala sio VIP, tofauti yake na 'economy class' ni mpangilio wa siti tu 2x2 vs 3x2.
3. 'Mashine za kuscan ticket' upite hazifanyi kazi.
Iko hivi 2x3 au 2x2 na hata 1x1 kikubwa huzingatiwa hapo huwa ni room space unaweza kukaa kwa kujiachia kwenye 2x3 kuliko hata 2x2 ambayo room space ni ndogo kwa upana wa behewa ulivyo hiyo 2x3 ni sawa tuu maana ukitaka 2x2 nauli ikiwa kubwa usilalamikeEeh! Yaani karne hii bado kuna usafiri wa 3 x 2?!!! Aisee hapo tumebugi
Toeni changamoto ili zitatuliwe1. Upande wa ticket SGR miyeyu, unakata online ukifika station unapanga bonge la foleni kuprint ticket.
2. Wanayoyaita mabehewa ya VIP wala sio VIP, tofauti yake na 'economy class' ni mpangilio wa siti tu 2x2 vs 3x2.
3. 'Mashine za kuscan ticket' upite hazifanyi kazi.
Bwana wewe tulishatoka huko kwenye 3x2 sasa ni two by two. Sasa sii bora nipande basi kuliko hiyo miminyanoIko hivi 2x3 au 2x2 na hata 1x1 kikubwa huzingatiwa hapo huwa ni room space unaweza kukaa kwa kujiachia kwenye 2x3 kuliko hata 2x2 ambayo room space ni ndogo kwa upana wa behewa ulivyo hiyo 2x3 ni sawa tuu maana ukitaka 2x2 nauli ikiwa kubwa usilalamike
1. Upande wa ticket SGR miyeyu, unakata online ukifika station unapanga bonge la foleni kuprint ticket.
2. Wanayoyaita mabehewa ya VIP wala sio VIP, tofauti yake na 'economy class' ni mpangilio wa siti tu 2x2 vs 3x2.
3. 'Mashine za kuscan ticket' upite hazifanyi kazi.
"Black people are good for nothing apart from indulging in sex and having so many wives."Waswahili mmeshaanza 🐼
Mbona hulazimishwi kupanda train, mabasi mbona bado yapo hayo ya 2x2 na hata ukitaka ya 1x2 yapo pia , sasa matamanio yako yasitake kuharibu wengine , upana wa behewa na upana wa basi ni vitu viwili tofauti kabisaBwana wewe tulishatoka huko kwenye 3x2 sasa ni two by two. Sasa sii bora nipande basi kuliko hiyo miminyano
Wanatengeza jambo haramu ili waibe project ishindwe kazi turudi kwenye mabasi3. 'Mashine za kuscan ticket' upite hazifanyi kazi.
Naam!1. Upande wa ticket SGR wameshindwa, unakata online ukifika station unapanga bonge la foleni kuprint ticket.
2. Wanayoyaita mabehewa ya VIP wala sio VIP, tofauti yake na 'economy class' ni mpangilio wa siti tu 2x2 vs 3x2.
3. 'Mashine za kuscan ticket' upite hazifanyi kazi.
Mfumo mzima we E ticketing ni bomu!1. Upande wa ticket SGR wameshindwa, unakata online ukifika station unapanga bonge la foleni kuprint ticket.
2. Wanayoyaita mabehewa ya VIP wala sio VIP, tofauti yake na 'economy class' ni mpangilio wa siti tu 2x2 vs 3x2.
3. 'Mashine za kuscan ticket' upite hazifanyi kazi.
Max malipo walivurugwa na kufilisiwa na Magu wakati wa Mwendokasi.Wawape Max malipo kukatisha tiketi
Panda basi.Bwana wewe tulishatoka huko kwenye 3x2 sasa ni two by two. Sasa sii bora nipande basi kuliko hiyo miminyano
Nipande basi la nini tena wakati bodaboda ninayoPanda basi.
Kwahiyo bwashee kwako ukweli ni sumu kali sana?Waswahili mmeshaanza 🐼