Tunaenda na vijana safari hii.Makamba anapima maji tu. Hana ubavu wa kuogelea mpaka mwisho. Ndio maana hutujasikia keelele nyingi. Asubiri 2025.
Namimi nagombea urais 2015 tatizo nini??
Anafaa sana January. Kulinganisha na wagombea walioonyesha nia, yeye amewaacha mile 10000000Tunahitaji mabadiliko...si jambo la kushabikia lakini Makamba hafai, sababu ni nyingi.
Chadema ndiyo marufuku kutangaza kugombea wala kutoa mawazo tofauti na Mbowe na Slaa, utaishia kuitwa msaliti na kufukuzwa.
January Makamba, hawezi kuleta mpasuko wowote CCM anayeamini hivyo atakuwa na matatizo ya ufahamu.
Chadema jikitene kujenga chama chenu kinakufa, kuliko kuhangaika na CCM.
Anafaa sana January. Kulinganisha na wagombea walioonyesha nia, yeye amewaacha mile 10000000
Namuunga mkono January Makamba
Kwa utakatifu huu kimefanikiwa kuwapa watanzania wote maisha bora, matibabu bora na ya bure, shule za kisasa zenye maabala zilizosheni zana za kisasa, kilimo cha kisasa, bajeti ya serikali inayojitosheleza kwa 100%, ...CCM Kupasuka sio leo wala kesho! ccm ni chama kitakatifu na watu wake
Kweli kabisa. Na hilo linawezekana tu kwa January MakambaKwa utakatifu huu kimefanikiwa kuwapa watanzania wote maisha bora, matibabu bora na ya bure, shule za kisasa zenye maabala zilizosheni zana za kisasa, kilimo cha kisasa, bajeti ya serikali inayojitosheleza kwa 100%, ...
kamanda , wewe ulikuwepo zanzibar kwenye ule mgao wa SAMSUNG GALAXY ?
. Kuliko mnavyofukuzana kila siku?MUOGOPE MUNGU JAPO KWA MWEZI HUU TU MKUU , hivi MIPASUKO YOTE HII HATA KUFIKIA KIWANGO CHA KUTILIANA SUMU HUIONI ?
Mtu aliyefeli form six akaiba matokeo anaweza kuwa rais?
January Makamba yupi? huyu aliyeiba mtihani pale Galanos?Kweli kabisa. Na hilo linawezekana tu kwa January Makamba
Wazee mtawauwa kama mnavyofanya kule kwenu Shinyanga?Tunaenda na vijana safari hii.
January ndio Habari ya mjini.
January Makamba yupi? huyu aliyeiba mtihani pale Galanos?
Wacha kutusingizia watanzania we kibaka, nani amtake mwizi wa mitihani?huyo huyo ndio watanzania wanamtaka
Anafaa sana January. Kulinganisha na wagombea walioonyesha nia, yeye amewaacha mile 10000000
Namuunga mkono January Makamba
Hukatazwi kumuunga mkono kwani hilo ni jambo binafsi.Anafaa sana January. Kulinganisha na wagombea walioonyesha nia, yeye amewaacha mile 10000000
Namuunga mkono January Makamba