Jimmie Gatsby
JF-Expert Member
- Mar 7, 2013
- 3,581
- 7,288
mizani mepesi sana hiii.... watu tumekutana na misukosuko bwana..... sema ni magazeti ngoja tukayatafute kule kwenye uzi wa visanga vya guest tuyapaste hapa...
kaka unafkiri ile ni kama ku-unlock smartphone (slide to unlock).... ile kzi sana kuitoa.. labda ukute BIKRA FAKEKumbe kuitoa sio kitoto
HAHAH HABARI ZA KUTODINDISHA AU KUNASIANA... HIZO NI CHAI..mizani mepesi sana hiii.... watu tumekutana na misukosuko bwana..... sema ni magazeti ngoja tukayatafute kule kwenye uzi wa visanga vya guest tuyapaste hapa...
Kama kupindua chama cha mapuuziAcha tu mkuu, ile shughuli ni pevu kama kumng'oa jiwe madarakani[emoji23] [emoji23] [emoji23]
HAHAH HABARI ZA KUTODINDISHA AU KUNASIANA... HIZO NI CHAI..
ila kuna watu wanakutana na kisanga... heheh ngojea nione ushuhuda wako kaka.. yalikufika yapi hayo?hakuna kitu kama hicho mzee... ni changamoto tu katika harakati za kula pauchi hata siyo hayo mambo ya kunasiana