kabanga
Platinum Member
- Dec 12, 2011
- 37,649
- 19,042
Nimeona nikuamshe kaka hii si yakukosa
kaka jambo jema hili. wajua kizuri kula na nduguyo...?
Nimeona nikuamshe kaka hii si yakukosa
1. Mkoa wa Manyara ndio wenye Wanaume wengi kuliko Mikoa yote ya bongo.
2. Mkoa wa Njombe ndio wenye Wanaume wachache kuliko yote bongo.
By Sensa Tanzania 2013.
Ufafanuzi ni kwamba wanawake wote mliobanana mahali akina Husninyo, DEMBA, ladyfurahia, Manka ...sogeeni Manyara huko.
Na wale wanaume mnaojiuliza tupo wangapi. .sogeeni Njombe hapo. Bujibuji, Arushaone, Excel, Daudi1. utafiti ..na mimi mwenyewe naanza safari kesho kwenda Njombe.
Huo utakuwa wizi sasa