Changamkia Fursa

Changamkia Fursa

M.E.M.A

JF-Expert Member
Joined
Jul 27, 2013
Posts
1,373
Reaction score
472
1. Mkoa wa Manyara ndio wenye Wanaume wengi kuliko Mikoa yote ya bongo.
2. Mkoa wa Njombe ndio wenye Wanaume wachache kuliko yote bongo.
By Sensa Tanzania 2013.

Ufafanuzi ni kwamba wanawake wote mliobanana mahali akina Husninyo, DEMBA, ladyfurahia, Manka ...sogeeni Manyara huko.

Na wale wanaume mnaojiuliza tupo wangapi. .sogeeni Njombe hapo. Bujibuji, Arushaone, Excel, Daudi1. utafiti ..na mimi mwenyewe naanza safari kesho kwenda Njombe.
 
Last edited by a moderator:
mapenzi ya sasa ni survival for the fittest..

unaweza kwenda huko kwenye wanaume wachache na bado ukapigwa chini pia!

sera zako na pesa zako ndizo zitakufanya uishi mjini!
 
Mimi nabaki hapa hapa unaweza ukaenda huko ukapigwa na baridi tu si unajua baridi la huko
 
Me niwekee booking kabisa nakuja ila naweza kuja na swahiba wangu kabanga
 
Huko kwenye wachache nani ataluletea nyodo? Ngoja niende huko nitakupa updates
 
Mimi nabaki hapa hapa unaweza ukaenda huko ukapigwa na baridi tu si unajua baridi la huko

Mkuu acha woga wewe. Wa hapa wote wamekagulia na Asprin. Ngoja niwahi huko mkija mtanikuta ndio mkaguzi mkuu.
 
Last edited by a moderator:
Me niwekee booking kabisa nakuja ila naweza kuja na swahiba wangu kabanga
kabanga naye huwa anashughulika na hizi mambo? Booking usijali mkuu. Nikuwekee siti ya dirishani au? Halafu nichague yenye jirani wa jinsia gani?
 
Last edited by a moderator:
kabanga naye huwa anashughulika na hizi mambo? Booking usijali mkuu. Nikuwekee siti ya dirishani au? Halafu nichague yenye jirani wa jinsia gani?

Dirishani mkuu na kama jirani sio mwanamke hutanitendea haki
 
Last edited by a moderator:
kabanga naye huwa anashughulika na hizi mambo? Booking usijali mkuu. Nikuwekee siti ya dirishani au? Halafu nichague yenye jirani wa jinsia gani?

kaka mkaguzi wa huko ....haya mambo Ndio yenyewe....
 
Last edited by a moderator:
1. Mkoa wa Manyara ndio wenye Wanaume wengi kuliko Mikoa yote ya bongo.
2. Mkoa wa Njombe ndio wenye Wanaume wachache kuliko yote bongo.
By Sensa Tanzania 2013.

Ufafanuzi ni kwamba wanawake wote mliobanana mahali akina Husninyo, DEMBA, ladyfurahia, Manka ...sogeeni Manyara huko.

Na wale wanaume mnaojiuliza tupo wangapi. .sogeeni Njombe hapo. Bujibuji, Arushaone, Excel, Daudi1. utafiti ..na mimi mwenyewe naanza safari kesho kwenda Njombe.

Sisi wa makorora je?
cc; KOKUTONA
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom