Wewe Smile mbona unapiga za kwenye mshono...tatizo vingamuzi vyenu ni ovyo sana
watu wenye akili timamu hawavinunui maybe wakauziwe wajinga nje ya mji!
au mmeshajirekebisha ? maana mimi changu nilikitupa siku nyingi kwa kweli,wateja walipokuwa wachache mlishindwa kutuhudumia je wakiwa mamilioni?
kila siku kupanga foleni ofisini kwenu na kingamuzi mara mbadilishe mara sijui nini wengi hatuwezi mkuu jipangeni!
tatizo vingamuzi vyenu ni ovyo sana

ni kweli hili ni dili la ukweli,lakini kwa nini uchukue hela za watu kwa kuwapa kitu kisicho bora bwana? ni sawa na kuuzia watu dawa ya uongo wakati unajua kabisa kesho watakufa iyo hela itakufaa nini.? waboreshe kwanza huduma zao..otherwise ni kudhulumu hela za watu..wewe nenda ofisini kwao uone watu wanavoleta vingamuzi na malboro daily!Tatizo watanzania tuna mawazo mgando! Mwenzetu kaleta dili tulichangamkie kama tunaona inafaa watu wanaanza kulipuka na kasoro kibao! Kama hutaki kaa kimya wenzako wata changamkia.
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
kweli nilishakitupa mkuu nimeenda pale buguruni mara 5 mara wabadilishe mara wafanyeje holla na sio mimi tu majirani ndugu zangu kila mtu analalamika...dkk mbili tu mara kizime mara weka antena hivi khaaa! nilichokaje?Usiwe mtu wa kulalamikalalamika,kama unamatatizo yoyote najitolea 4 free nipm nikupe my phone number tusolve tatizo la king'amuzi chako cha startimes
kweli nilishakitupa mkuu nimeenda pale buguruni mara 5 mara wabadilishe mara wafanyeje holla na sio mimi tu majirani ndugu zangu kila mtu analalamika...dkk mbili tu mara kizime mara weka antena hivi khaaa! nilichokaje?
badala waelekeze nguvu kwenye kuboresha huduma zao wapo busy kujitangaza! wamekula laki yangu na ushee hivihivi wewe waache!nikweli kingamuzi cha star times hovyo kabisa mi mwenyewwe nilinunua kipindi kile cha weldi kapu 2010, najuta kujifahamu, picha zinaganda ganda,yaani frustration tupu, ukipiga simu mara elekeza antena kisarawee, sijui weka nnnn hv, yaani full frustration kiko nyumbani kama pambo tu, sitaki hata kuwasikia, TBS sijui wanafanyan niini !!!!
ni kweli hili ni dili la ukweli,lakini kwa nini uchukue hela za watu kwa kuwapa kitu kisicho bora bwana? ni sawa na kuuzia watu dawa ya uongo wakati unajua kabisa kesho watakufa iyo hela itakufaa nini.? waboreshe kwanza huduma zao..otherwise ni kudhulumu hela za watu..wewe nenda ofisini kwao uone watu wanavoleta vingamuzi na malboro daily!
siji labda nije mnirudishie hela zangu tu basikaka naomba 2crumbane hapa, kama unafikiri mi nipo hapa kurumbana basi endelea kulaumu ujaze post ila kama ni mwelewa na unataka usaidiwe tatizo la king'amuzi chako nipm nikupe namba yangu /uje ofisini hapa bamaga usaidiwe.
Toka nimepost hapa wa2 17 wamenipm 8 nimemalizana nao nimewaelekeza kwa zile channel zinazosumbua na namna ya kufanya wameridhika na watke mawakala 6 tayari wamekubali wa3 wapo njiani kuja wengine wa2 wanakuja kesho asubuhi kati yao m1 atakuja na cash kuchukua kbs mzigo huyo m1 atanipigia kesho na wengine tumepeana ahadi ndicho nlichofanya baada ya kupost hapa so kama ni mwelewa fanya hivyo.
tatizo vingamuzi vyenu ni ovyo sana
watu wenye akili timamu hawavinunui maybe wakauziwe wajinga nje ya mji!
au mmeshajirekebisha ? maana mimi changu nilikitupa siku nyingi kwa kweli,wateja walipokuwa wachache mlishindwa kutuhudumia je wakiwa mamilioni?
kila siku kupanga foleni ofisini kwenu na kingamuzi mara mbadilishe mara sijui nini wengi hatuwezi mkuu jipangeni!
Hasira za nini smile?
Smile anafoka ameboreka mkuu!!, chezeya kuboreka weye!!?
hafu mbona hamko Morogoro nyie vipiii hata siwaelewi!!