Chanel ten na CCM ni ndugu?

STAR TV kwa makusudi leo saa mbili usiku (8/03/2014) ametoa taarifa inayohusu uchaguzi Kalenga....kwa kuweka maelezo ya mgombea wa CCM mwanzo mwisho mwa taarifa hiyo wakati...kwenye taarifa hiyo kulikuwa na vipande vya video ambavyo vinamuonyesha mgombea wa CDM akihutubia wananchi ....

hii nayo ni sabottage ya Star TV kwa CDM...nawasilisha

mkuu unamjua antony dialo yule mwenyekiti wa ccm wilaya ya nyamagana ndio mmiliki wa star tv unategemea nini.muulize angelo mwoleka yule mwandishi toka arusha aliyeonyesha dalili ya kushabikia cdm yaliyomkuta
 
Mkuu ni kweli Mwoleka siku hizi simuoni kabisa, kwani kimemkuta nini? Na yuko wapi?
 
mkuu unamjua antony dialo yule mwenyekiti wa ccm wilaya ya nyamagana ndio mmiliki wa star tv unategemea nini.muulize angelo mwoleka yule mwandishi toka arusha aliyeonyesha dalili ya kushabikia cdm yaliyomkuta

Hata mengi mmiliki wa itv ni mchaga sasa unategemea nini?
 
Wakuu nimeamin kabisa vyombo vya habar vina upendeleo,
Chanell ten wamerusha kampen za ccm pekee karenga huku wakiacha vyama vingine,kama Cuf na Chadema,imeniuma sana.
Hili lichama nimelichoka,kwa sababu halina msaada wowote kwa watanzania hasa ss wakazi wa karenga.

ITV wamerusha kampeni za Chadema peke yake wakiacha Chama Dume CCM na Cuf pamoja na Chausta hivi kwa nini wanapendelea Chadema kama hivi jamani hii kweli ni hakiii? Uwiii jamani Chama la Ukweli linaonewa jamani!
 
mkuu unamjua antony dialo yule mwenyekiti wa ccm wilaya ya nyamagana ndio mmiliki wa star tv unategemea nini.muulize angelo mwoleka yule mwandishi toka arusha aliyeonyesha dalili ya kushabikia cdm yaliyomkuta

Nikusahihishe bwana yule Sio Mwenyekiti wa Wilaya ni Mwenyekiti wetu wa mkoa wa Mwanza.
 
Hivi na hawa wakina Yericko Nyerere, Tumaini Makene, Kurugenzi ya Habari nao wame-hongwa na CCM? Kwa maana sio kuripoti habari za uchaguzi humu jukwaani!

We wacha mawazo mgando, unafikiri jf kuna % ngapi ya wa Tanzania wanao weza kuwa na uwezo wa kujiunga na jf? Watanzania wengi atleast wanamiliki radio, tv na wachache kusoma magazeti hata kama ni after 2 days au 3.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom