CHANEL TEN; Hawana waandishi au wapiga picha?

Jumakidogo

R I P
Jul 16, 2009
1,851
417
Nimefuatili leo taarifa ya habari ya chanel ten ya saa 1 jioni nikitegemea kupata habari motomoto za matukio ya leo. Jamaa katangaza habari ya vurugu Mbeya utafikiri yuko chooni, habari kavu kavu haina hata picha! wala
 
Haaaa hata me nimeshangaaa na mlimani hawajaonesha mambo ya mbeya,ITV wameonesha pamoja na TbC1
 
Back
Top Bottom