Chanel kuandika scrambling inamaanisha nini?

Chanel kuandika scrambling inamaanisha nini?

ketone

JF-Expert Member
Joined
Jan 22, 2016
Posts
510
Reaction score
662
Wakubwa shikamooni,

Wadogo marahaba, tunaolingana mambo.

Jaman baadhi ya chenel kwenye kingamuzi cha AZAM tv ukiiclick inaandika channel is scrambling, ina tatizo gani? Kwa mfano fox sposts, bbc, inaonyesha kidogo na kukata.
 
hili suala lipo na kwangu Mkuu !!!!!
Tatizo mpaka sasa na mm sifahamu
 
Nafikiri ni channel kuingiliana au kugongana.
 
Wakubwa shikamooni,

Wadogo marahaba, tunaolingana mambo.

Jaman baadhi ya chenel kwenye kingamuzi cha AZAM tv ukiiclick inaandika channel is scrambling, ina tatizo gani? Kwa mfano fox sposts, bbc, inaonyesha kidogo na kukata.
Hizo channel zimekua encrypted. Zingine zinahitaji decoder maalum kuzifungua
 
decoder gani mkuu kwa mfano
 
Scramble for, and partition of africa… itakua history decoder hiyo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ukiona hivyo jua inahitaji malipo kuiona channel hiyo.
 
mkuu azam wameweka software mpya ya kuifanya channel yoyote ambayo ipo fta na ina element ya kuwa pay tv kuwa scrambled tumia dikoda nyingine utaziona izo channel bila shida
 
Back
Top Bottom