Haya......tuvute subira....tungoje Matokeo......
Kwa heri Nooij
wale.n.dili sio.mshahara wote n waomara 100 kuwa na makocha wazalendo....
Tuachane na hawa wazungu sasa...
6. Kumpa likizo ya malipo katibu mkuu wa TFF
TUMLETENI YULE KOCHA aichukue team hii ya Taifa .Golan kapunovic kama sijakosea jina.
Hatuhitaji makocha wazungu sasa hivi...TUMLETENI YULE KOCHA aichukue team hii ya Taifa .Golan kapunovic kama sijakosea jina.