Malinzi ndio aliyemleta huyo kocha mbovu ambae anachagua wachezaji ambao wanakaa benchi kwenye klabu zao.Dida kwa sasa hastahili kuwa kipa namba moja wa Taifa Stars hata pale Yanga Barthez ndio alikuwa namba oneAlafu wakati mwingine tuache ujinga, wote tunaangalia mpira, goali hili ni DIDA amefungisha, golikipa gani unafungwa goli rahisi kabisa, badala ya kudaka mpira, yeye anatanguliza miguu na kugonga mpira. HOVYOO KABISAAA.
sasa kufanya nini wakati tumeshafungwa??
Tuchange pesa wakuu kumlipa kocha ili tuvunje mkataba....au mnaonaje? Uzalendo kwanza
Hahahaaah,,,,,,kwani uzi mpya ndio unacheza mpira??
6. Kumpa likizo ya malipo katibu mkuu wa TFFAlifanya makosa sana kutaka kubadilisha kila kitu pale TFF,baadhi ni haya
1.Kuvunja mkataba wa Kim Poulsen
2.Kuhamishia ofisi za TFF Posta
3.Kutaka kubadilisha jina la Taifa
4.Kubadilisha jezi za Taifa Stars
5.Ameanzisha timu inaitwa maboresho,sijui hata ina umuhimu gani
6.
7.
Malinzi tuachie shirikisho letu,
Rudi ktk ngumi uko alah..
Stars ikishinda Leo.... Nipigwe ban ya Dakika kumi....
Una hela za kuchezea mkuu,sema tuchange tuifumue TFF.
Hilo ndilo aliloliona Malinzi, ndio maana kakomalia kubadili jezi. Tunafungwa kwa sababu hatujapata jezi sahihi
Huyu malinzi hajui anachokifanya, Mashindano ya AFCON na CHAN ndio mashindano makubwa africa yeye ndy anayafanyia majalibio!!!
Sijui tunakosa nini aisee
Nipo Uganda kwa mkopo
Haya nimekusikia
Sare ndio Plan A ya kochaMkuu mi nikiangalia hii mechi ni dro
Hivi draw ikitokea kuna matuta?