Mwambusi, Makata, Mkwasa, Kibadeni, Minziro, Mtumwa, Julio, yule Msoja kocha wa Ndanda, Masanja,.... Kweli tumekosa mmoja wa Kumpa timu tunampa huyo mzee asiyefuatilia hata ligi ya Nyumbani maana nahisi hajui kuwa baadhi ya first eleven wake ni wasugua bench!! Halafu unampa usaidiz kocha ambaye ameshindwa kuperfom na kashfa kibao... Bongo bhna