Hawa Uganda wanayo wachezaji 12 wa under 23 kwenye 18. Wachezaji 2 waliocheza in 2013 walipowafunga taifa star. Sisi tume wachezesha wale wale badala ya akina Ajibu etc
Kuna msemo unasema"Kama unamfukuza mwendawazimu hakikisha unaondoa na makopo yake" hii ina maana km Nooj atafukuzwa Malinzi pia anapaswa aondolewe!!Tuanze upya