CHAN 2016 Qualifiers: Tanzania vs Uganda

Mi nawashanga mashabiki waliopo uwanja,wachague kuondoka uwanjani au kushangilia uganda kama ninavyofanya mimi
 
Kuna wengine mlikuwa mnaomba stars ifungwe ili mzungu aondike. Uganda wamecheza na strikers 4.
 
Mara 100 kuwa na makocha WAZALENDO....

Tuachane na hawa wazungu sasa...
Wazawa ndiyo mbuzi kabisa mfano kocha kama julio unategemea nini labda tukianzisha kombe la ubishi na maneno hapo wazawa wanaweza kutufikisha mbali,

Huwa nasema siku zote hatuwezi kuwa na timu ya taifa nzuri wakati virabu vyetu hovyo haitatokea kamwe labda mungu awe na upendeleo atupendelee maksudi.
 
Kwenye FIFA rankings Cranes (ni ya 71) na Stars (ni ya 127) .. Tofauti ya nafasi 56! Kwa takwimu hizi ni muujiza kuifunga UG
 

Hao wageni wamekufikisha wapi?
 
Hi sasa sifa kufungwa kila siku, popote na kila tim!
 
Narudia tena....

Ni mara 100 kuwa na makocha wazalendo kuliko hawa wazungu...

Kwani Julio ana tatizo gani??..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…