Champion Bus yaua watu 8

Ee Mungu warehemu waliopatwa na ajali hii na kuwajaalia wapone kwa wakati ili warudi kwenye shughuli za kujenga taifa letu legelege
 
Aisee, hata cha kusema sina

Mungu wapiganie watu wako, maana tunakufa vifo vibaya.

Hata kuku kifo chake kinaheshima zaidi ya kifo hiki, manake kinaandaliwa kabisa,
Na kina faida kwa mlaji. Lakini hivi vifo vya hivi jamani...........khaaaaaaaaa
 
Nyani Ngabu hivi unapoanza safari huwa unajua ni nini kinaweza kutokea ukiwa safarini?kwa hyo ikitokea siku moja na wewe ukafa ajarini utakuwa umejitakia siyo?

Kuanzia leo nitakudharau sana na ntakudisapprove katika komenti zako zote,hauna tofauti na Mramba,Makamba,Masaburi n.k
 
dah! poleni wafiwa na majeruhi!
last week nilipanda basi la Princess Muro kutoka dar kwenda mbeya, lilikuwa linaendeshwa mwendo kasi mno na abiria ndio waliokuwa wanampa kichwa dereva na walikuwa wanakimbizana na basi la abood, mle kwenye basi walikuwa wanashangilia kama watoto wadogo karibia abiria wote na wa kwenye basi la abood vivyo hivyo,nilijaribu kuwaeleza madhara yake na ni watu kama sita tuu walioniunga mkono ikabidi tunyamaze!mwishowe nilikuja gundua karibia wote mle kwenye mabasi haya walikuwa wafanya biashara wa tunduma, nilikoma kupanda mabasi yanayounganisha hadi tunduma tangu hapo, Mungu atunusuru
 
Nyani Ngabu hivi unapoanza safari huwa unajua ni nini kinaweza kutokea ukiwa safarini?kwa hyo ikitokea siku moja na wewe ukafa ajarini utakuwa umejitakia siyo?

Kuanzia leo nitakudharau sana na ntakudisapprove katika komenti zako zote,hauna tofauti na Mramba,Makamba,Masaburi n.k

Hunijui sikujui...have fun at it!
 
Nadhani madereva wanabeba lawama za bure mara nyingi, BARABARA ZETU OVYO!
Hauwezi ukawa na busy highway ambayo ni single lane kila direction na hakuna eneo la kutenganisha, barabara inatakiwa iwe at least 2 lanes kuruhusu kuovertake kwa usalama au ikishindikana kuwe na shoulder na kunatakiwa kuwe na distance kubwa au uzio kati ya pande mbili.
 
... barabara inatakiwa iwe at least 2 lanes kuruhusu kuovertake
barabara ya Tanzania haina sheria na watu hawajali usalama wao.

_MG_0477.jpg



_MG_0470.jpg
 
<img src="http://3.bp.blogspot.com/-42dzTiUVyGA/Tl1Xyd9mxrI/AAAAAAABt0A/O__i0p6EIm0/s1600/_MG_0470.jpg" border="0" alt="" />



Maisha bora kwa kila Mtanzania. Hapo wote kwa pamoja wamelipa JERO tu!

.
 
barabara ya Tanzania haina sheria na watu hawajali usalama wao.

_MG_0477.jpg


Hii mgoma iko pale Salasala au toka njia panda ya kwenda IPTL unashuka kuitafuta Tegeta magengeni. Huu mchezo uko sana eneo ilo na haswa mida ya jioni watu wanatoka makazini. Huwa kuna bonge la foleni hapo. Yote hii husababishwa na lile soko la Tegeta ambao mchana ni kama halipo maana kuna sheria ikifika jioni sheria zimeenda kulala na watendaji hawapo! Sipendi sana hao wanaotanua maana ajali huwa nje nje!!

_MG_0470.jpg

Unategemea ikitokea ajali hapa nini kitaendelea? Unaweza usiamini kama wahanga wa ajali walikuwa ni abiria wa Bodaboda, ukadhani ilikuwa Taxi!
 
Back
Top Bottom