Champion Bus yaua watu 8

Champion Bus yaua watu 8

CCM imewatoa kafara kwa ajili ya uchaguzi wa Igunga. Ndiyo zao hizo!
 
dah pole kwa wafiwa na majeruhi .na Asante kwa uliyeleta post manake nilikuwa nahitaji kujua.
 
Ukitaka kujua uzito wa hili suala,uwe na ndugu katika hiyo basi,halafu baada ya ajali unampigia simu hapatikani,weeeh!
 
TBC wameirusha hyo habari, kwa kweli inatisha, gari limepinduka juu chini mpk imebid watafute winch waje kuliinua, simanz ni pale lilipokuwa likigeuzwa sa sijui waliokuwa wamebaki humo walikua ktk hali gani. Mungu azilaze mahali pema peponi na awajaalie wale waliopata majeraha wapone haraka. Amina
 
Mungu awape unafuu majerahi wote, Awafariji wafiwa wote na aziweke roho za maremu mahala pema peponi. AMEN.
 
Kweli Mungu awalehemu kwani hawakujua kama itatokea. Lakini na sisi wasafiri tunasababisha, ukisikiliza shuhuda ambaye alikuwa kwenye gari hilo anasema lilikuwa linagonga wanaulizana ni nini? Twapaswa kubadilika kama wasafili inatakiwa tuwaambie madereva.MUNGU ALAZE ROHO ZA MAREHEMU MAHARI PEMA PEPONI AMEN!
 
sasa kama mipira ya matairi wanatengeneza feki basi na mipira ya kiume wakitengeneza feki itasabasha ajari kubwa mno
 
HE1 hujui kama kuna mipira feki ya condom watu wananunua magari, wanajenga nyumba kwa ajili ya gonjwa! acha kabisa.
 
ndio, gari linkimbia wananyamanza, ajili ikitokea ndo tunfungua midomo, kwani wewe si unasafiri unajua!MUNGU AWAREHEMU!
 
Back
Top Bottom