Elections 2010 Chama Kikipungukiwa Wabunge ni nini Hatima ya Viti Maalum

Mpui Lyazumbi

JF-Expert Member
Sep 1, 2010
1,856
371
Kujiuzulu kwa RA, kumesababisha niwaze jambo hili. Endapo chama chochote kitapungukiwa na wabunge wake ama kwa kujiuzuru, kufukuzwa n.k. Ni nini uwiano wa viti maalu? Je, viti maalum vitapunguzwa? Na ikiwa hivyo kwa kambi ya upinzani na hatimaye idadi isipotimia inakuwaje? Hebu mnisaidie kwa hili
 
Kwa kuwa uwiano wao unaletwa na idadi ya kura za mgombea urais hapatakuwa na athari. In other words CCM wataendelea kupeta na vilaza wao, wale wanaopongeza kila kitu.
 
Mtoa hoja swali lako ni la msingi ambalo linaonyesha irrevance ya viti maalum. Hata upatikanaji wake ni wa convience tu.

Ukweli Dr Kashilila wa right kuhusu kutazama upya swala la viti maalumu kwa sababu hakuna specific group ambalo wanawakilisha bungeni zaidi ya kuuongezea mzigo taifa.
 
Ni kweli Mo Town! Hapa yafaa TUTAFAKARI katika harakati zetu za kuandika Katiba MPYA! Hili mwalionaje?
 
kwani katika hili katiba yetu inasemaje? na anayejua huwa wanacalculate vp idadi ya viti maalum kwa chama fulani?
 
Back
Top Bottom