Kinyamagala
Senior Member
- Oct 13, 2011
- 154
- 29
Ha ha ha ha umenikuna Mkuu!!! Mage yupi tena?Hana lolote Bana kazi yake kuwavizia akina Mage chuo, anawaza ngono tu
Hiyo ndiyo ubaya wa elimu ya kukariri inayokupa cheti na siyo knowledge, pamoja ma elimu yake yote anashindwa kusoma hata alama za nyakati? Au anaongea kuwafurahisha watu fulani?
The handsome thing is, anajiaibisha mwenyewe, his researches produce the most embarrassing results and to his name lays the shame, ati watanzania asilimia ngapi sijui wanamkubali JK, it is a vivid lie! But to his name and only him, wengine kina Mkumbo wanaenda perfect, fact is fact, very ambiguous, it never changes. It is so unfortunate ma-Prof wengi wanagombea kwa tiketi ya magamba,cuz they think it an easy way, cha ajabu wakichemsha wanarudi kufundisha, hawa jamaa ni legelege mno, they are terrified by people of Mkumbos nature!Huyu jamaa anawaaibisha academicians,usomi wake ni wa makaratasi,hawezi kufikiria nje ya box.
Mnafanana sana na Bana, whats really your point here, cha msingi ni nchi kutawaliwa na yields tuzione, it is somebody not some party, CCM mbona hakukaliki 2015! Kila mtu anataka urais, halafu, mind you that tutakuwa na wagombea binafsi, do't limit your thinking by closing yourself in that small dark box!Dr. Bana, kwa hilo namuona ana muono wa upeo mkubwa sana.
Hivi uchukulie mfano wa magwanda, si watasusia nchi hawa mambo yakienda kombo kidogo. Mzee wa kiraracha nachama chake wamesha salim amri, NCCR ndio hoi bin Taaban, CUF ndio tayari na kushinda kwao uchaguzi wa visiwani lakini wamejijuwa kuwa chama chao hakiwezi kuongoza na wameridhia kuongozwa na CCM.
Bana kwa hili uko juu. Wengi sana wanafikiria kupiga kelele na kushinikiza maandamano na kususa ndio kuongoza? hapana. Wangeona mfano Egypt, huko sasa tunaona hata washabiki wa mpira wanauana hovyo.
Nadhani viongozi wa magwanda wameliona hilo na sasa wamebadilika, nilipowaona wanakwenda Ikulu na kunywa juisi kwa kashata nikajuwa, sasa hawa ndio wanaanza siasa, wakiendelea hivyo, baada ya miaka 20, wajukuu wa waasisi wa hiyo kampuni wanaweza kuongea mengine.
Fursa ziko vipi? Mpaka uhonge, upendelewe kwa sabababu mbalimbali, kisiasa, kidini etc! Mtu anapewa kwa mfano eneo kubwa la msikiti ajenge hotel, kwa sababu kesha honga, sijui km unaliona hilo ndugu! Corruption is the problem, CCM is too corrupted na n wazi kabisa tumeona watu wanapitisha mahawala zao kugomea nafasi mbalimbali na uwezo hawana, wanaharibu tu, wanakingiwa vifua wasiwajibishwe, what are you thinking, mabadiliko tena kuanzia na ninyi wanawake, start thinking independently, be emancipated, ma'ke wengi mnafikirai kuuza utu ili muishi maisha bora, halafu mnataka pia haki sawa;hakuna fursa sawa, na ndo maana mageuzi hayaepukiki, see for yourself 2015 msiwe na njozi tu ati Mungu atawasaidia!Mtanzania anekaa kila siku analalamika badala ya kuwacha uvivu na kufabya kazi kwa bidii, huyo hata ashushiwe malaika hatoacha kulalamika.
Fursa alizokuwa nazo Mtanzania leo hii, nchi nyingi sana duniani hawana. Lakini asiye na macho hawezi kuziona, asiye na masikio hawezi kuzisikia.
...Dr Bana ...umeaibisha wasomi na usomi....,jibu ulilotoa lime base ..kwenye matokeo ya uchaguzi wa 2010..,,,
Mimi nilidhani umeongea "sasa",ukiwa na Ripoti ya kiutafiri ya sasa......
Je kwa sasa kwa wimbi la uongozii uliopo Sasa hakuna chama mbadala?
Kwa mfumko mkubwa huu asilimia ishirini wa bei hakuna chama mbadala...
Kwa uwezo wa hoja na kiongozi na hata kwa ushauri wanaoutoa kwa serikali ...hakuna chama mbadala...?
Kwa uchumi huu mbovu?? Kwa migomo hii ??
Unaongelea nguvu ndogo ya upinzania.....kwenye katiba ya sasa? Tume ya uchaguzi ?
Nadhani tuna haja ya kuwa na Shaka na maoni ya daktari Bana,,...