Chama changu ccm....tafadhari tusikilizeni na sisi......

hii thread ni nzuri sana kwa wana sisiem.... jitokezeni mchangie mada muhimu inayohusu kukinusuru chama chenu.... hii itakua kipimo pia cha lawama za mara nyingi kwamba JF ni ya pro CHADEMA.... msipochangamkia thread hii itadhahirisha uzaifu wa members wa sisiem at JF... kina Hiza Tambwe tungefurahi kuona maoni yao

HizaTambwe ana maoni gani, si kiazi tu.
 
Haya wakuu, nawasomeni ktk angle zote za mawazo, hatukwaziki na huo ndio msingi wa uanamapinduzi wetu. Tupeni nyanga zenu, JF is all about learning from our mistakes for better 2morrow
 
Jamani wana ccm mpo wap mbona hamumuungi mkono huyo mwanachama mwenzenu aliyewapa ushaur? au mtasema naye katumwa na CDM?

Mkuu Mkoloni,

FDR.jr hajatumwa na mtu toka CCM/CDM ni kuwa amewaambia wana CCM ukweli na ukweli ndio huo na ndio maana ni wana CCM wachahche humu wananchangia kwa Faida ya Taifa lao na kuna wengine wanasema CCM inawenyewe me nadhani hao wenyewe ni wanapita tuuu ipo siku itakuwa na wananchama ila mmoja wao ndio FDR.jr kaibuka na kuuweka uwazi,

Bwana FDR.jr kasema maneno mazuri kama kura za maoni mimi mwenyewe nili pita pita huko na huku kuifuatilia sana huo mchakato wa kura za maoni ila niligundua mapungufu mengi sana esp Majina ya wagombea kulikuwa na uchafu mwingi sana na hili lilikuwa ni kutokana na maamuzi ya vikao vya juu na ubabe wa viongozi wa ndani ya CCM eg Makamba kutopenda kusikia ushauli wa wenzio. Interest ilikuwa kubwa kwa watu wao na sio wananchi wau wanachama wa CCM na ndipo viongozi wa Juu walipo ibaliki chuki ndani ya wana CCM hili nililiona live na Makamba ataondoka na dhambi kubwa sana na manung'uniko mengi ya wana CCM.

Mbali na hilo Hata uchaguzi wa Rais wana campaign walikuwa ni Family style hadi kwa wabunge wengine wa CCM na ndicho kilichoiponza CCM kubwagwa majimbo mengi kwani hawakujipanga kwani huko nyuma walikuwa na makundi yaliyozaliwa kwenye kura za maoni na jembe lao kuu UVCCM ndio walio tengwa kabisa na ndio hao waliohakikisha CCM inapokonywa hayo majimbo kwani hata kwa UVCCM nako kulikuwa hakukali kutokana na Changuzi zao zilizopita na asilimia kubwa UVCCM hawakuwa na vikao vingi vya kuendeleza Chama na kujipa miongozo ya uongozi ndani UVCCM bali kulikuwa na unafki na fina chuki za hapa na pale njaaa wengi walikuwa wanafuata pesa tuu na kura zaenda CHADEMA hili ni kweli tulishuhudia haya yote ila Viongozi wa CCM wanajua na kujaribu pindisha ukweli.

Imefika mahali viongozi wa CCM wakubali hili Kolimba alilolisema kipindi cha uongozi wake as Katibu wa CCM Taifa kuwa CCM imekosa Dira na ndipo hapo kulipokuwa na wabishi kabisa hawakutaka kusikia kukosolewa wakina Ben Mkapa sasa matokeo yake ndio haya pasipokuwa na uadilifu wa uongozi kamwe CCM haito weza kujijenga upya kwani kuporomoka ndiko huku sasa Kumbukeni KANU hadi leo kuijenga tena iko shughuli na ndio Viongozi waliko CCM na kwenye madaraka wana sahau kuangalia alama za nyakati yaani ni mdudu sijui wa aina gani unajua ubishi wao ndio unawajengea wananchi wengi fikra tofauti na kupata ufahamu tena makinifu juu ya kufahamu Democracia.

Kubwa sana ni kwa UVCCM ingawa tamko lao limekuja likichelewa sana ila ni muda mwafaka wao sasa kujipanga na kuwa na one Voice Country First , Lugha Mmoja na Kauri Mmoja na watafika na wanaweza rudisha imani kwa Chama chao na waje na sera mpya na itikadi mpya zaidi za kisasa na sio mambo ya Ufisadi na wakitaka kujaribu kuchezea shilling kwa tundu ya choo basi huu ndio wakati wao waakajiribu waone na kuwapuuza vijana wenzao, Vinaja ndio wenye sauti kubwa ktk kuhamasisha kupiga kura kuliendesha Taifa sasa siwaelewi kwani msiungane na kuwa kitu kimmoja na kuliongoza taifa kwa Haki na Amani kwani uzalendo wa Vijana ndio utawapa thawabu zenu nasio kunyang'anya wananchi mali zao kuwazurumi pitia Vitabu vyenu vilivyowapa elimu na kuipindisha KATBA na sheria ya nchi kwa manufaa yenu. Kwahiyo UVCCM kuweni kitu kimmoja acheni matabaka ya kinafiki na fitna na kujengeana chuki kwani leo baadhi ya viongozi wengi wa ummoja wa UVCCM wamejijengea Chuki na maadui baada ya uchaguzi wa kura za maoni na uchaguzi mkuu pia sasa nini faida yake maana kijana ulipaswa jenga Taifa lako na jina lako matokeo yake ulitanguliza njaaa na haya ndio yaliiweka CCM pabaya na huundio ukweli haupingiki hata JK anaujua na asilie kusema Ati kipindi Hiki ni Kigumu kwake kwani yeye ndio aliye tengeneza hayo mazingila magumu kwani hakuwa na Feature Focus IKULU ilikuwa inampoteza mpaka hivi leo na hiyo TISS ndio hovyo kupindukia na Si ha sa za kinafki na kueneza umbea yaani hakuna watu wambea kama TISS wanaipotosha TISS na kuishusha hadhi yake kwaajili ya njaa zao nchi inakwenda kubaya wao wanato ushauri mbaya zaidi kwa kulinda maslahi ya kundi furani haiitaji mtu akachukue PhD ndio akupe mifano wakati mifano hai iko kwa hiyo CCM kuporomoka kwake kumechangiwa sana na Viongozi wanao jiona wao wana power kubwa sana dhaidi ya wananchi wana sema ati CCM inawenyewe ila ipo siku itakwa ya wanachama walioSafi kabisa na watu hawato amini na itarudi kuaminika
 
hii thread ni nzuri sana kwa wana sisiem.... jitokezeni mchangie mada muhimu inayohusu kukinusuru chama chenu.... hii itakua kipimo pia cha lawama za mara nyingi kwamba JF ni ya pro CHADEMA.... msipochangamkia thread hii itadhahirisha uzaifu wa members wa sisiem at JF... kina Hiza Tambwe tungefurahi kuona maoni yao

Pelekeni kero zenu kwenye hizo cheap blogs zenu sijui Michuzi etc. ndio wanaipenda kijani na manjano!
 
Haya wakuu, nawasomeni ktk angle zote za mawazo, hatukwaziki na huo ndio msingi wa uanamapinduzi wetu. Tupeni nyanga zenu, JF is all about learning from our mistakes for better 2morrow

Mkuu FDR.jr,

Wewe ni mmoja ya wana CCM wachache sana ambao twaweza kaaa tukaongea na kuelewana kabisa maana kuna UVCCM wengine duuhhh sijui huwa nikiwasikiliza nawaonea huruma sana sielewi ni woga au unyenyekeaji au ukosefu wa Elimu ndio inawapelekea kuwa na Fikra potufu kuzi maelezo.

Kama kuna Mwana CCM atakae kupinga kwa hoja ulizo toa atakuwa ni punguani kabisa na ndio hao mamruki ndani ya CCM bendera futa upepo.

 
unadhani yawezekana kwa uongozi huu. nakwambia labda top layer yote ife, na wasaidizi wao pia then walioko chini kama hawana njaa (maana naamini CCM wengi ni walaji tu) labda, nasema labda ndio mnaweza chukua mwelekeo mwingine.

Try to fight from inside, dont end up at JF only. Gudluck
 
Nimetembea mikoani especially hii eastern zone ya tz, majengo yetu yanadumaa, yanapata sifa za magofu, ushawishi ktk vyuo vikuu unapotea kwa kasi sana..... Tunapaswa turejee ktk ule msingi wa young pioneers, nakumbuka nilivyokuwa chipukizi na magwaride yale...... Kwa sasa sheria inabana ila makambi ya uvccm yakitumiwa tutaweza kuzalisha wanaccm imara through uvccm humo ktk shule za lowasa, hawa wataingia vyuoni wakiwa tayari wameonja ladha ya uana mapinduzi na kama wakuu uvccm na ccm wenyewe watashikamana kimaadili, wataamini ktk kukosoana, kutenda haki na uwajibikaji basi cream hii toka shule za lowasa, academia watakuwa na la kujivunia na kulitetea mbele ya umma.

Bado naitaka ccm, chama changu kuliona hili na ninawataka wana jf wanisaidie kimaono hata kama wengine hawapendi facts hizi hapa ndani kwa kutoipenda ccm au kwa dhana ya kuipenda sana ccm na kusahau wajibu wa msingi wa chama chetu.

Ninaendelea kupokea maoni yenu, ni msaada kwetu ccm na funzo kwa wapinzani wetu.

Mapinduzi ya fikra, matendo yanayoendana na wakati na uwajibikaji ndio sila yetu.
 
Wahenga wanasemaga kwenye msafara wa mamba hata kenge na mijusi hawakosekani.Mkuu FDR.Jr uko sahihi sana kifikra ila nakufananisha na mbegu nzuri iliyotupwa kwenye mwamba.Nasikitika kukwambia kuwa CCM sasa ivi si chama tena bali ni Private Liable Company(plc) ya Lowassa na Rostam hao wengine ni waajiriwa tu.CCMkama chama kilizikwa na Nyerere.Anyway free your mind karibu upinzani mkuu siyo lazima CDM.Kuna raha yake ati maana hupelekwipelekwi na yeyote na hufungwi mdomo na yeyote wala huzuiwi kunena lolote na yeyote mda wowote kama ccm.
 
Hoja yako nzuri ila utopata manaccm humu hata mmoja, wanaccm wao wanataka uiseme vibaya Chadema basi hata kama yupo chooni atakurupuka huko aje kuchangia, mfano hata huyo KIBUNANGO mwenye Avatar ya bendera ya ccm amechangia thread mara tatu lakini hakuna alipogusia tropic hii zaidi ya kuwashambulia wachangiaji.
Ushauri wa bure kwako ndugu mtoa mada, soma signature yangu tafakari halafu chukuwa hatuwa.
 
Jamani si wanadai wana wanachama mil 5, mbona hawanekani humu, au wako vijijini hata hawatumii huduma za mtandao??? Maoni mazuri ila jamaa wanamshauri marehemu ambaye kimsingi hajui lolote, sasa wanataka Chadema tuchangie?? FDR Jnr kama unaona uozo huo basi utoke, ukishindwa acha kulalamika. CCM is going to hell as days move on, Sorry to say
 
jamani si wanadai wana wanachama mil 5, mbona hawanekani humu, au wako vijijini hata hawatumii huduma za mtandao??? Maoni mazuri ila jamaa wanamshauri marehemu ambaye kimsingi hajui lolote, sasa wanataka chadema tuchangie?? Fdr jnr kama unaona uozo huo basi utoke, ukishindwa acha kulalamika. Ccm is going to hell as days move on, sorry to say
heri wanachama kumi active kuliko millioni 5 mambumbumbu a.k.a vilaza.
 
Back
Top Bottom