Chama changu ccm....tafadhari tusikilizeni na sisi...... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Chama changu ccm....tafadhari tusikilizeni na sisi......

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by FDR.Jr, Jan 25, 2011.

 1. FDR.Jr

  FDR.Jr JF-Expert Member

  #1
  Jan 25, 2011
  Joined: Jun 17, 2008
  Messages: 1,335
  Likes Received: 95
  Trophy Points: 145
  [FONT=&quot]MAPUNGUFU/MAMBO YANAYOHITAJI MAREKEBISHO NDANI YA CCM.( Maoni)[/FONT]
  [FONT=&quot] [/FONT]
  [FONT=&quot]1. [/FONT][FONT=&quot]Top down directions/order[/FONT][FONT=&quot] ni tatizo.Viongozi wa juu wasiwe mara zote wanatoa maagizo chini, badala yake, wawasikilize hao wa chini juu ya namna bora ya kupata ushindi halali na kuimarisha chama,pia wawekwe huru kutohofia kutoa maoni yao na ushauri kwa wakubwa (T) (M) (w), KWANI WAO NDIO WANAO ONA HALI HALISI YA ENEO HUSIKA.[/FONT]
  [FONT=&quot] [/FONT]
  [FONT=&quot]2. [/FONT][FONT=&quot]U[/FONT][FONT=&quot]wezo wa mtu kifikra na maono[/FONT][FONT=&quot] kwasasa haina nafasi sana ktk CCM ya sasa bali uwezo wake wa kujinyenyekeza na kujiweka karibu na viongozi wakubwa ndio yaweza kumfanya mtu apate nafasi / mamlaka au ushawishi..Watu wanapaswa kuwa na nafasi sawa na haki ya kutambuliwa kwa namna ya wanavyojitoa kwa chama, hasa katika nafasi za uteuzi katika chama mfano. Inapotokea mtu kuna watu wanaonyesha uwezo, ni vema wakafikiriwa na kupewa nafasi, hasa kutokana na taarifa za mapendekezo toka kutoka chini ( W) (K) shina na matawi..[/FONT]
  [FONT=&quot] [/FONT]
  [FONT=&quot]-Maono yangu, si vema sana kufanyika uteuzi toka makao makuu (T) au (M) tu, kisha kuwapeleka mahala wakafanye kazi katika nafasi mbali mbali ndani ya chama bila kujali mapendekezo ya ngazi za chini, kwani kwa kufanya hivyo chama kinashindwa kuwaona watu wenye vipaji na moyo kwa chama lakini hawana mtu wa kuwatambulisha taifani au mikoani.Hivyo chama kinapoteza rasilimali watu ambayo ni nguzo.[/FONT]
  [FONT=&quot] [/FONT]
  [FONT=&quot]3. [/FONT][FONT=&quot]Ukataji wa majina ya wagombea[/FONT][FONT=&quot], unapaswa kufanyika kabla ya kura za maoni,kama mtu anatatizo anapaswa kukatwa kabla ya kufika kwa wanachama, kwani katika mazingira ya kawaida wanachama huona kama wanadharauliwa na vikao vya juu kwa kutengua maamuzi yao, na hatimaye huamua kupiga kura za chuki kwa wapinzani dhidi ya CCM.,na hata wagombea walioenguliwa majina hushiriki katika kampeni za kuiangusha CCM kwa kuwaambia watu wao wawapigie kura wapinzani,kitu ambacho ni huidhoofisha CCM.[/FONT]
  [FONT=&quot] [/FONT]
  [FONT=&quot]4. [/FONT][FONT=&quot]Mitandao ya Makundi[/FONT][FONT=&quot].Itafutwe namna juu kurekebisha hili suala, kwani haina maana kama watu wanajitahidi kujenga mchana, na wengine usiku wanaamka kwa ajiri ya kubomoa..ili ifutike kinachotakiwa ni kuruhusu maoni kwa uwazi kuwaacha wanachama waseme yaliyo mioyoni mwao kwa uwazi ndani ya vikao vya chama, katika hili busara za viongozi wa juu wa chama zinatakiwa sana.[/FONT]
  [FONT=&quot] [/FONT]
  [FONT=&quot]5. [/FONT][FONT=&quot]Kuwe na wasaa/mpango maalum wa kutafuta na kugundua watu wenye vipawa vya uongozi watu wenye uwezo kutoka sehemu mbalimbali hasa nje ya chama cha mapinduzi, mfano mashuleni hasa High School (kidato cha tano na Sita) , hata wanapoingia vyuoni wanakuwa tayari na uelewa wa siasa, wengine vyuo wakiwa mwaka wa kwanza,(recruiting potential figures tofauti na sasaambapo mpango huu haupo.Kufanya hivi itasaidia CCM kuongeza watu bora.[/FONT]
  [FONT=&quot] [/FONT]
  [FONT=&quot]6. [/FONT][FONT=&quot]Udhibiti usio makini wa rushwa ndani ya chama[/FONT][FONT=&quot].Hali hii sasa imekua ni tataizo, kama tukiweza kuziambia nafsi zetu ukweli, mtaweza kuona hili tatizo, watu wa uwezo wa kawaida katika kipato, uwezo wao wa kupata uongozi kwa kuchaguliwa ni mdogo kutokana na matumizi makubwa ya rushwa katika chaguzi, hasa chaguzi za ndani ya chama,..kwamba mwenye uwezo wa kifedha ana nafasi kubwa ya kushinda au anaweza kupanga safu ya uongozi popote pale kulingana na matakwa yake...SUALA HILI LINAZAA CHUKI KWA UPANDE AMBAO UNASHINDWA,PIA HATA CHAMA KINAPOTEZA WATU WENYE UWEZO WA KUSAIDIA CHAMA KIKWELI..ili kudhibiti tatizo hili vikao vikubwa wanapaswa kupiga moyo konde na kufaya maamuzi magumu ambayo yanatija kwa chama na taifa.[/FONT]
  [FONT=&quot] [/FONT]
  [FONT=&quot]7. [/FONT][FONT=&quot]Makao makuu (T)[/FONT][FONT=&quot] iangalie namna ya kuwasadia watendaji wa chama kwa kuwawekea mazingira mazuri ya kazi na kupunguza ukali wa maisha yao moja kwa moja , hasa katika ofisi za wilaya, Mf.Mbali na ukarabati wa ofisi,posho nzuri inayoendana na kupanda kwa gharama za maisha ya sasa, kwa watu kama makatibu,wenezi, uchumi na fedha etc kulipwa sh.20,kwa mwezi ni kinyume na uhalisia wa maisha ukilinganisha na umuhimu wao kwa chama, Suala hililinapelekea watendaji hao kuwaomba fedha wagombea katika wakati wa chaguzi,kitu ambacho kinawafanya wasifanye kazi zao kwa uadilifu, ili mradi tu kumridhisha aliyempa fedha,,yafika wakati viongozi hao wao ofisi moja hujawanyika na kuwa makundi tofauti kitu kinachopelekea kampeni dhidi ya wapinzani kuwa ngumu.[/FONT]
  [FONT=&quot] [/FONT]
  [FONT=&quot]8. [/FONT][FONT=&quot]Kuwe na vikao (kitimoto) ktk kamati za siasa[/FONT][FONT=&quot] [/FONT]
  [FONT=&quot]ndani ya chama kuwahoji viongozi wa mtaa,madiwani, wabunge na ma-mayor wa halmashauri,,kujua kwa kiasi gani hao watu wana tekeleza majukumu yao kupunguza ukali wa maisha kwa wananchi...kila mwisho wa mwaka lazima walete ripoti na kukaguliwa kama kweli kazi/ahadi zimetekelezwa au laa, hii itarudisha mapenzi na imani kwa wananchi na kufanya chaguzi zisiwe ngumu sana,tofauti na sasa ambapo nguvu nyingi zinatumika ili kupata ushindi.[/FONT]
  [FONT=&quot] [/FONT]
  [FONT=&quot] [/FONT]
  [FONT=&quot] [/FONT]
  [FONT=&quot] [/FONT]
  [FONT=&quot]9. [/FONT][FONT=&quot]Research (tafiti)[/FONT][FONT=&quot] ndo msingi mkubwa wa maendeleo ya kweli sehem yoyote duniani, chama kinapaswa kuwa na kikosi cha tafiti, ambacho kitakua na kazi ya kuingia mitaani kuweza kuchunguza ni kwa kiasi gani watu wamepokea mipango na mikakati mbalimbali ya kimaendelea inayopangwa na utekelezaji wake PIA kufahamu mitazamo ya kweli ya wananchi kwa chama, na kupata maoni yao yanayotoka mioyoni mwao, kuliko hali ilivyo sasa ya viongozi wa CCM kufarijiana katika vikao vya ndani kuwa wanachi wanafurahia na kukiunga mkono chama, WAKATI ukweli haupo hivyo, hii hali ndio inayopelekea chama kuhangaika na kutumia nguvu na fedha nyingi kushinda chaguzi….pia matokeo ya tafiti hizo yafanyiwe kazi na si kuwekwa kabatini.[/FONT][FONT=&quot][/FONT]
  [FONT=&quot] [/FONT]
  [FONT=&quot] [/FONT]
  [FONT=&quot] [/FONT]
  [FONT=&quot] [/FONT]
  [FONT=&quot]10. [/FONT][FONT=&quot]Watu wanaojitokeza kuwa wa kweli na kukemea mapungufu ya chama wasichukuliwe kama wasaliti, bali wanaleta changamoto kwa maendeleo ya chama na nchi kwa ujumla.[/FONT][FONT=&quot][/FONT]
  [FONT=&quot] [/FONT]
  [FONT=&quot] [/FONT][FONT=&quot][/FONT]
  [FONT=&quot] [/FONT]
  FDR.Jr NI MWANA CCM ANAYEAMINI KTK HAYA MAONI AMBAYO CHANZO NI NDANI YETU CCM NA JUMIYA ZAKE.
  MUNGU IBARIKI TANZANIA
  [FONT=&quot] [/FONT]
  [FONT=&quot] [/FONT]
  [FONT=&quot] [/FONT]
  [FONT=&quot] [/FONT]
   
 2. t

  think BIG JF-Expert Member

  #2
  Jan 25, 2011
  Joined: Mar 24, 2008
  Messages: 236
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  ... sikio la kufa halisiki dawa!

  wewe si wa kwanza kusema hivyo, na wala hautakuwa wa mwisho!

   
 3. Kibunango

  Kibunango JF-Expert Member

  #3
  Jan 25, 2011
  Joined: Aug 29, 2006
  Messages: 7,639
  Likes Received: 185
  Trophy Points: 160
  Pilipili usioila inakuwashia nini?
   
 4. t

  think BIG JF-Expert Member

  #4
  Jan 25, 2011
  Joined: Mar 24, 2008
  Messages: 236
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35

  ... Jambo usilolijua ni kama usiku wa kiza! Poleni
   
 5. bluetooth

  bluetooth JF-Expert Member

  #5
  Jan 25, 2011
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 3,936
  Likes Received: 673
  Trophy Points: 280
  hii thread ni nzuri sana kwa wana sisiem.... jitokezeni mchangie mada muhimu inayohusu kukinusuru chama chenu.... hii itakua kipimo pia cha lawama za mara nyingi kwamba JF ni ya pro CHADEMA.... msipochangamkia thread hii itadhahirisha uzaifu wa members wa sisiem at JF... kina Hiza Tambwe tungefurahi kuona maoni yao
   
 6. Julius Kaisari

  Julius Kaisari JF-Expert Member

  #6
  Jan 25, 2011
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 1,174
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 145
  Mkuu,huyu bwamdogo hafai kuwa mshauri,kati ya yote aloongea hata moja haliwezi sikilizwa..Alipaswa aweke kitu njuruku..mafweza namna ya kuyafaidi..CCM ya sasa is of more material(fweza)kuliko sera!!
   
 7. MAMA POROJO

  MAMA POROJO JF-Expert Member

  #7
  Jan 25, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 4,966
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  Harufu mbaya
   
 8. mchonga

  mchonga JF-Expert Member

  #8
  Jan 25, 2011
  Joined: Dec 3, 2006
  Messages: 1,250
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  kwa nini habari hii imeanikwa hapa Janvini? mngeipeleka kwenye UVCCM. Habari ikianikwa hapa lazima tuifanyie kazi.
   
 9. bluetooth

  bluetooth JF-Expert Member

  #9
  Jan 25, 2011
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 3,936
  Likes Received: 673
  Trophy Points: 280
  mkuu..... hawa jamaa hawapo makini.... hii ilikua fursa kwao kujadili issue kama great thinkers wa sisiem ili waweze kurudisha hadhi... sasa hawaonekani na hata mtoa mada kaingia kizani
   
 10. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #10
  Jan 25, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,180
  Likes Received: 897
  Trophy Points: 280
  how old are you?
   
 11. Nyamgluu

  Nyamgluu JF-Expert Member

  #11
  Jan 25, 2011
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 3,147
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 145
  CCM wenyewe wenye akili wanajua maji shingoni!! Wanajua ujinga na wizi uliofanywa na unaofanywa na viongozi wao, swali ni wanatokeje?
   
 12. Kibunango

  Kibunango JF-Expert Member

  #12
  Jan 25, 2011
  Joined: Aug 29, 2006
  Messages: 7,639
  Likes Received: 185
  Trophy Points: 160
  Hii mada imelengwa kwa Viongozi na wanachama wa CCM... Sasa naona unataka kudandia treni kwa mbele!
   
 13. Babu Lao

  Babu Lao JF-Expert Member

  #13
  Jan 25, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 2,056
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Kweli sikio lakufa... mazunguka kutafuta dawa tatizo mnalijua ila mnalikwepa.... tatizo kubwa chama chenu ni ukosefu wa busara wa katibu mkuu wenu, na wala si kitu kingine lakini wote mnamuogopa kuanzia mwenyekiti wake:A S-fire1:!!
   
 14. Kibunango

  Kibunango JF-Expert Member

  #14
  Jan 25, 2011
  Joined: Aug 29, 2006
  Messages: 7,639
  Likes Received: 185
  Trophy Points: 160
  Ili iweje? Tamko la UVCCM limewabana sio!
   
 15. bluetooth

  bluetooth JF-Expert Member

  #15
  Jan 25, 2011
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 3,936
  Likes Received: 673
  Trophy Points: 280


  wapo wapi hao ma great thinker wa sisiem...... hii mada imeshakudodea nashangaa bado unasubiri michango ya kina Tambwe hiza.... haya bora ujiulize na kujijibu wewe mwenyewe thread yote mpaka ujiridhishe...
   
 16. kweleakwelea

  kweleakwelea JF-Expert Member

  #16
  Jan 25, 2011
  Joined: Nov 29, 2010
  Messages: 2,422
  Likes Received: 437
  Trophy Points: 180
  FDR.jr ccm ina wenyewe !!! sio wewe FDR.jr na wanajulikana, vengine mmepelekwa pale na njaa zenu!
   
 17. M

  Malunde-Malundi JF-Expert Member

  #17
  Jan 25, 2011
  Joined: Jan 10, 2008
  Messages: 1,287
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Unapoteza muda tu huko; ongelea ni jinsi gani hela yao walioyotumia kupigia kampeni na mabango makubwa imefikia wapi (DOWANS) sio blabla hawataki wenzako; ukitaka hayo yanapotekelezwa kwa vitendo karibu
   
 18. Utingo

  Utingo JF-Expert Member

  #18
  Jan 25, 2011
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 7,121
  Likes Received: 185
  Trophy Points: 160
  nani ndani ya ccm yako atakusikiliza?
   
 19. Ronal Reagan

  Ronal Reagan JF-Expert Member

  #19
  Jan 25, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,745
  Likes Received: 1,459
  Trophy Points: 280
  It's like flogging dead horse! I mean CCM.
   
 20. Nicas Mtei

  Nicas Mtei JF-Expert Member

  #20
  Jan 25, 2011
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 11,569
  Likes Received: 106
  Trophy Points: 160
  Jamani wana ccm mpo wap mbona hamumuungi mkono huyo mwanachama mwenzenu aliyewapa ushaur? au mtasema naye katumwa na CDM?
   
Loading...