Chama Cha Wananchi CUF Kufutiliwa mbali

Chama Cha Wananchi CUF Kufutiliwa mbali

Mtoa post ni popoma kama si unatumika.

Nimejikuta unashindwa kumalizia post yako kwa hasira zilizo nijaa.
 
Wanabodi,

"Chama Cha Wananchi CUF, Kufutiliwa Mbali!... Iwapo Itathibitika Kinahusika/ Kitahusika na Vurugu, Ugaidi, Uvunjifu wa Amani Zanzibar na TZ!, ila ikitokea CCM ndio chanzo, au kisababishi cha vurugu hizo, CCM hakiwezi kufutwa kwa sababu ni chama tawala!".

Nyingi ya theads humu ni threads kuhusu matukio yaliyotokeakwa upande wa events, au events zitakazokuja kutokea lakini tuna threads chache sana kuhusu mambo ya ideas yatakayokuja kutokea, hivyo hii ni thread ya mambo ideas yatakakuja kutokea kutokana na kitu kinachoitwa "trend readings" na sio utabiri kama wa Sheikh Yahya (RIP) au Nostra Domus.

Trend ni inahusiana na usomaji wa historia ya mwenendo wa jambo fulani, kisababishi (the motive behind) kilichosababisha hiki kinachotokea sasa kitokee, ili kujua kile kitakachokuja kutokea huko tuendako, yaani ile "so what" ya maamuzi ya kufanya au kutofanya jambo fulani!.

Kichwa cha habari kimejieleza wazi (self explanatory) kuwa Chama cha Wananchi CUF, kitafutwa rasmi (toka kwenye daftari la Msajili wa Vyama vya Siasa),only if, kama itathibitishwa pasipo shaka, with a court of competent juisdiction, tena without any reasonable doubt, kuwa kinahusika, au kitahusika na matukio yoyote ya kihalifu, ya kigaidi au ya uvunjifu wa amani, Zanzibar, Pemba au eneo lolote la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, kitafutwa, kwa sababu kitakuwa kimepoteza sifa za kuitwa chama cha siasa kwa mujibu wa sheria ya Vyama vya Siasa ya Mwaka 1992 ambayo kisheria inajulikana kama The Political Parties Act of 1992 au Chapter 258.

Sheria hiyo imeweka sifa mbalimbali za chama cha siasa kinachoweza kusajiliwa, lakini pia imeweka sifa mbalimbali za chama cha siasa ambacho hakiwezi kusajiliwa, na miongoni mwa sifa za chama cha siasa ambacho hakiwezi kusajiliwa, ni pamoja na kipengele hiki kwenye ibara ya 8, 2-c
"it accepts or advocates the use of force or violence as a means attaining its political objectives"

Ibara hii inamaanisha kama chama kiliisha sajiliwa, lakini baadae kikagundulika kina kiuka kipengele hicho, chama hicho kinakuwa kimepoteza sifa ya kuitwa ni chama cha siasa hivyo kinastahili kufutwa kutoka kwenye daftari la msajili wa vyama, "strucked out fom the book of registerd political parties".

Viongozi, wanachama, wafuasi, wapenzi na mashabiki wa CUF, msije kunirukia na kuniararua kuwa nawawangia au kuwachuria ili chama chenu kifutwe, bali nawapa tuu angalizo la matakwa ya kisheria, ikiwa na endapo itathibitishwa pasi shaka, "beyond reasonable doubts" kuwa CUF kama chama, kinahusika na haya yanayotokea sasa kwa kuwahamasisha wanachama na wafuasi wake kupanga, kuratibu na kutekeleza vitendo vyovyote vya kihalifu, vya kigaidi na vya kuvuruga amani na utulivu wa visiwa vya Unguja na Pemba ambazo ni sehemu za Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, au eneo jingine lolote ndani ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Hii ni kufuatia CUF kususia kushiriki uchaguzi wa marudio, swali la kujiuliza ni jee ni nini "the motive behind" ya kususa huku kwa CUF?!. Kwa vile uchaguzi wa marudio umeishatangazwa na majina ya wagombea wa CUF bado yapo, lakini CUF wameshikilia msimamo wake wa kususia uchaguzi huo, jee CUF wanaendelea kususa ili iweje?!. Jee kuna uwezekano kuwa kwa vile CUF wamejielekeza kususa uchaguzi huu tangu mwanzo lakini ZEC imewalazimisha kuwepo na kuyaweka majina ya wagombea wao kwa lazima, siku ya uchaguzi kupangwa baadhi ya wananchi wacheche kuwapigia kura wagombea wa CUF, hivyo ZEC kuhalalisha udhalimu wao, kuwa uchaguzi ilikuwa huru na wa haki, na matokeo ndio hayo yatakaoonyesha CUF imeshindwa vibaya!, hivyo kuna uwezekano CUF kama chama, wameamua, kuliko kusubiri aibu na kudhalilishwa kwa kushindwa vibaya, ni bora kufanya hujuma zozote ili uchahuzi usifanyike?!, hivyo kupanga, kuatibu na kutekeleza vitendo vya vurugu, uhalifu na ugaidi ili uchaguzi usifanyike?!. Ikithibitika CUF ndio ,mhusika wa haya, hakuna jingine zaidi ya kufutwa!.

Ila ikikutikana wanaofanya vitendo hivyo ni wana CUF individually kwa ridhaa zao wenyewe bila kushawishiwa wala kuratibiwa ba chama, then, CUF kama chama, kitabaki salama, na hao wanachama, individually watashughulikiwa kama wahalifu wengine wowote kwa sababu uhalifu ni uhalifu tuu, hauna chama, hauna dini, hauna kabila, hauna rangi wala jinsia, na wahalifu wote ni watu wa kulaaniwa jamii na sheria ichuke mkondo wake dhidi wahalifu hawa mapema, wasije kujiorganise wakaunda IS, Al Shabab na Al Qaeda yetu!.

Sheria zipo lakini hazitekelezwi, ila kufuatia JK kuwa dhaifu, na serikali yake kuwa dhaifu, kuliwapa wahalifu mawanda mapana ya kutamba hadi kumchezea simba sharubu na hakufanya lolote, zaidi ya kuitisha vikao vya maridhiano na miafaka, hizi nyakati za sasa zimebadilika, nyie mliozoea kuchezea sharubu za simba dhaifu, msijaribu kuchezea sharubu za huyu simba aliyepo, huyu sii simba yule wa kucheka na ngedee na kuyavuna mabua!, sasa nyakati zimebadilika, hili ni angalizo tuu nawapa, mlipokee au mlipuuzie, yakitokea ya kutokea, msilalamike kuwa hamkuambiwa!.

Ila pia kuna uwezekano, kwa vile CUF wamesusa, then mhalifu huu unafanywa na CCM kwa mtindo wa "self inflicting pain" ili ionekane ni CUF, ambapo CCM ni maajenti wa kitu kinachoitwa "An agent provocateur ?!, ili chama dola kipate uhalali wa kuwashukia?!. Na kama ni CCM ndio magaidi, jee nao watafutwa?!.

Kama ni CCM, hawatafutwa!, jee ni kwa nini CCM hawawezi kufutwa hata wakifanya lolote?!. Kulijua hili lazima ufanye homework kidogo kwa kauli ya Msajili wa vyama aliyepita, tena
Naombeni wana CUF, msije kunishutumu kuwa ninachuki na CUF, maneno kama haya ninayowaeleza leo, pia niliwahi kuwaeleza wenzenu na washirika wenu Chadema, na pia niliwahi kuyatoa kwa chama dola CCM!.

Chama Cha Demokrasia na Maendeleo, CHADEMA, Kufutwa Kwa Mujibu wa ...
Tuhuma Hii: CHADEMA Kuendeshwa Kwa Katiba "Fake" Ikithibitishwa ...

Chonde Chonde Rais Kikwete: Msimamo wa CCM wa Serikali Mbili ndio ...
Tahadhari ya hatari: CCM Imepania Kufanya Kinyume cha Maumbile ...

Wasalaam.

Pasco wa jf!.

uwezo wako wakufikiri ni mdogo mpaka leo unajua chama ni Jina! chama ni itikadi zinakaa
vichwani mwa watu. Tunaposema CCM inakufa tunamaanisha watu wanaoweka itigadi za ccm vichwani mwao wanazidikupungua. Ninavyokuona utakujasema chama ni majengo.
 
Kuna watu wanaamini kuwa CCM ndio kila kitu na haitotokea kifutike.
Mimi nasema kwa utaratibu wa uwongo na ubabe ambao wanauendeleza, basi tuanze kuwahesabia ya... maana ngoma ikivuma sana mwishowe...!

Na hawa Kenge/Vimburu wachache wanaojifanya kuleta/kutumika na hao... wao, pia safari/historia yao itasomeka si muda.

Huwezi kueleza upuuzi kama huo, wakati jambo/chanzo cha UCHAFU woote kinafahamika kuwa ni JECHA, sasa kitendo cha kuwatafutia wasokuwa na sababu kuwabambikia sababu kwa eti msemo wa kijinga "mshikwa na ngozi ndio mwizi" huo upuuzi uloshapitwa kitambo!

Kwanini kama chanzo cha vurugu ni Maalim Saif, mbona msimfikishe kwenye hizo eti mahakama zenu?!

Wauweni hao CUF basi ili mtawale kwa rahamustarehe! Dhambi mnayoifanya haiishii hapo Pemba wala Unguja, na si muda bara pia lita/itafika!

Sasa ubabe na ubaguzi wenu uendelezeni na mkae mkitambua hakuna dhambi mbaya kama kuwagawa/kuwabaguwa watu kwa kisa kisa tu eti kukupingeni kwa udikteta muufanyao.
 
Kodi ya UBANI na UDI inayotumika kugharamia uchaguzi wa kinafiki, ingeelekezwa kwenye hafla ya kumuapisha Dk Shein moja kwa moja...
 
Mkuu Drifter, kwanza asante kwa objectivity ya bandiko lako, maana jf ya sasa kuwapata watu wenye objectivity ya kiwango hiki ni nada sana!, asante.

Nchi inaendesha kwa mihimili mitatu ya kiutendaji na wa nne wa sisi wapiga kelele, wapuliza firimbi.

Kwenye hili jambo tangu linatokea mwanzo nimeshauri sana tuu nini cha kufanya ila ushaui wangu uliishia kuwa kelele tuu.
Chanzo cha yote ni Jecha kufuta uchaguzi kinyume cha sheria. Jambo lolote la kisheria linahitaji utatuzi wa kisheria na sio kufanya press conferences na kupiga kelele.

Hebu nisome nimesema nini, nimeshauri nini,
Zanzibar Issue: Kwanini watu wanapiga kelele tu bila kuchukua ...
Imethibitishwa pasi na shaka kuwa ni kweli kabia, Zanzibar,
Maalim ...Kuna haja ya kuhofia kurudiwa Uchaguzi Zanzibar? | JamiiForums ...
CUF kushiriki Uchaguzi wa Marudio Zanzibar si hiyari, Ni lazima ...
Hatimaye CUF 'Wameridhia' Rasmi, Kushiriki Uchaguzi Wa Marudio ...
Mbowe Alipua Bomu la Siri ya Ushindi Wa CCM Zanzibar!. Waziri ...
Kumuepushia aibu ya Kushindwa, CCM isimsimamishe Dr. Shein ...

Kufukia sasa vurugu zimeanza, nashauri bora kifutwe!.

Pasco'
13467;o,

Pasco, bado unatuweka katika wakati mgumu. Kwanza kusema kuwa Jecha kafuta uchaguzi kinyume cha sheria kama vile ni uamuzi wake haiyumkiniki. Who or what is Jecha in this county? Obviously, a mere tool following the instructions of his masters. Unawajua vizuri sana wakuu wa Jecha. Au unahitaji nikujulishe kuwa ndio wenye kauli ya mwisho nchini? Hawa ndio wanaoamrisha tume ya uchaguzi, polisi, jeshi na mahakama. This is a police state.

Unashughulikiaje suala hili kisheria? Kwa kwenda mahakamani? Wenye nchi wamebariki kauli za "nchi haitolewi kwa vikaratasi" mara "kamwe hatuwezi kuwakabidhi wapinzani nchi", n.k. Hao majaji hawajipendi hadi waende kinyume na "miongozo" hiyo? Wewe bado una imani na mahakama zetu kwenye jambo kubwa kiasi hiki la kusaka urais?
 
Mkuu Pasco hujawahi kukosea unapokuja kuzungumzia fact jamaa wamebaki kurusha ngumi hewani, hata ivo walio wengi hawajui siasa za visiwani ni very simple hao Cuf walioko Unguja wengi ni jamaa wa kipemba ila Wazanzibar tokea asili wanawajua wapemba watu wa aina gani na huwezi kuwabadilisha kwa hilo ni kama mtu ukizaliwa Mkiristu ni ngumu kwenda Uislam vile vile unapozaliwa Muislam inakuwa ngumu kwenda Ukiristu japo inatokea ila kwa asilimia ndogo sana.

Sheikh Mohd Said makala zako siku zote zinalalia upande mmoja unapenda watu waamini upande mmoja ndio mwema mwengine ni wabaya as if wewe pekee ndio uloshuhudia hayo mambo yalipotokea. Shame on you
 
Nilikuwa naheshimu sana mawazo yako mkuu kwa sababu una uhuru wa kutoa maoni yako pasi na shaka lakini kwa hili sorry mkuu.
 
Mkuu Maalim Mohammed Said Seyyid wangu, kwanza asante kutia mguu kwenye bandiko langu, kitendo tuu cha kupita hata ungesema neno moja tuu kuwa nimekusoma, kwangu ni faraja tosha!.

Hili la chama na possibility ya CCM kuwa causative agent na An agent provocateur (French for "inciting agent") is a person who commits, or who acts to entice another person to commit an illegal or rash act or falsely ... nimelisema, ila nikasisitiza CCM haiwezi kufutwa hata ikukutikana ni yenyewe na sababu ziko kwenye link ya kufutwa kwa Chadema.

Japo mimi natofautiana sana na wewe kwenye issues za fundamenalisim yako, lakini nakubali sana kipaji chako, ilmu yako, na uwezo wako katika maandishi hivyo nakusoma sana tuu, na hizo links zako nitazipitia.

Kwa kukusaidia tuu, kwenye ile kadhia ya Mwembechai, mimi ndiye niliyekuwa ipota wa DTV on the line of fire, nashika kamera na kuripoti, pia kwenye zile seke seke za Zanzibar, ni mimi na Ally Saleh ndio tulilazwa Mwembemadema, hivyo ninauzoefu wa kutosha na hizi political violence, tuliwaona tangu mnapanda mbegu, mkiishea mimea, sasa karibia na kipindi cha mavuno, uzi huu ni kushauri tusisubirie mavuno kamili, dalili za sharri zimeishaanza kuonekana, heri ya nusu shari kuliko shari kamili, nimesisitiza na kuandeline, ikithibitishwa ni boa kifutwe!.

Ahasanta.
Pasco
Pasco,
The Fire Next Time...
 
''QUOTE''
CUF kama chama, wameamua, kuliko kusubiri aibu na kudhalilishwa kwa kushindwa vibaya, ni bora kufanya hujuma zozote ili uchahuzi usifanyike?!, hivyo kupanga, kuatibu na kutekeleza vitendo vya vurugu, uhalifu na ugaidi ili uchaguzi usifanyike?!. ''UNQUOTE''

Watu kama nyinyi ndio mnafanya hujuma na kuratibu na kutekeleza vitendo vya vurugu kama unavyofanya sasa hivi hapa JF. Acha siasa za maji taka, uchaguzi unafanyika kama ulivyopangwa. Watu kama wewe ndio unatakiwa uisaidie Polisi kwa sababu inteligensia inaonyesha unataka kuwafanya watu wasijitokeze siku ya kupiga kura[/QUOTE]
 
Hiyo ni sawa na ndoto ya saa tano asubuhi, ukitaka kuifuta Cup,Hampshire wananchi wote wa PEMBA ulete wapya hapo ndo uaweza kuifuta. Na ukumbuke MACCM Hayapo kabisa pemba lakini unguja Cuf wapo
 
Kiukweli Pasco nilikuwa namkubali sana kipindi cha nyuma ila kwa muelekeo huu unaenda kubaya sana,kama ni suala la kuishauri CCM kwa nini hukusema haya toka wanaanza kufuta uchaguzi kwa nini hukutoa taarifa kama hii ya kufiuta CCM??
 
Mtoa mada,ni rahisi zaidi kuifuta cuf kuliko kuifuta zanzibar iliyojaa kwenye mioyo ya wazanzibar.
 
Wanabodi,

"Chama Cha Wananchi CUF, Kufutiliwa Mbali!... Iwapo Itathibitika Kinahusika/ Kitahusika na Vurugu, Ugaidi, Uvunjifu wa Amani Zanzibar na TZ!, ila ikitokea CCM ndio chanzo, au kisababishi cha vurugu hizo, CCM hakiwezi kufutwa kwa sababu ni chama tawala!".

Nyingi ya theads humu ni threads kuhusu matukio yaliyotokeakwa upande wa events, au events zitakazokuja kutokea lakini tuna threads chache sana kuhusu mambo ya ideas yatakayokuja kutokea, hivyo hii ni thread ya mambo ideas yatakakuja kutokea kutokana na kitu kinachoitwa "trend readings" na sio utabiri kama wa Sheikh Yahya (RIP) au Nostra Domus.

Trend ni inahusiana na usomaji wa historia ya mwenendo wa jambo fulani, kisababishi (the motive behind) kilichosababisha hiki kinachotokea sasa kitokee, ili kujua kile kitakachokuja kutokea huko tuendako, yaani ile "so what" ya maamuzi ya kufanya au kutofanya jambo fulani!.

Kichwa cha habari kimejieleza wazi (self explanatory) kuwa Chama cha Wananchi CUF, kitafutwa rasmi (toka kwenye daftari la Msajili wa Vyama vya Siasa),only if, kama itathibitishwa pasipo shaka, with a court of competent juisdiction, tena without any reasonable doubt, kuwa kinahusika, au kitahusika na matukio yoyote ya kihalifu, ya kigaidi au ya uvunjifu wa amani, Zanzibar, Pemba au eneo lolote la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, kitafutwa, kwa sababu kitakuwa kimepoteza sifa za kuitwa chama cha siasa kwa mujibu wa sheria ya Vyama vya Siasa ya Mwaka 1992 ambayo kisheria inajulikana kama The Political Parties Act of 1992 au Chapter 258.

Sheria hiyo imeweka sifa mbalimbali za chama cha siasa kinachoweza kusajiliwa, lakini pia imeweka sifa mbalimbali za chama cha siasa ambacho hakiwezi kusajiliwa, na miongoni mwa sifa za chama cha siasa ambacho hakiwezi kusajiliwa, ni pamoja na kipengele hiki kwenye ibara ya 8, 2-c
"it accepts or advocates the use of force or violence as a means attaining its political objectives"

Ibara hii inamaanisha kama chama kiliisha sajiliwa, lakini baadae kikagundulika kina kiuka kipengele hicho, chama hicho kinakuwa kimepoteza sifa ya kuitwa ni chama cha siasa hivyo kinastahili kufutwa kutoka kwenye daftari la msajili wa vyama, "strucked out fom the book of registerd political parties".

Viongozi, wanachama, wafuasi, wapenzi na mashabiki wa CUF, msije kunirukia na kuniararua kuwa nawawangia au kuwachuria ili chama chenu kifutwe, bali nawapa tuu angalizo la matakwa ya kisheria, ikiwa na endapo itathibitishwa pasi shaka, "beyond reasonable doubts" kuwa CUF kama chama, kinahusika na haya yanayotokea sasa kwa kuwahamasisha wanachama na wafuasi wake kupanga, kuratibu na kutekeleza vitendo vyovyote vya kihalifu, vya kigaidi na vya kuvuruga amani na utulivu wa visiwa vya Unguja na Pemba ambazo ni sehemu za Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, au eneo jingine lolote ndani ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Hii ni kufuatia CUF kususia kushiriki uchaguzi wa marudio, swali la kujiuliza ni jee ni nini "the motive behind" ya kususa huku kwa CUF?!. Kwa vile uchaguzi wa marudio umeishatangazwa na majina ya wagombea wa CUF bado yapo, lakini CUF wameshikilia msimamo wake wa kususia uchaguzi huo, jee CUF wanaendelea kususa ili iweje?!. Jee kuna uwezekano kuwa kwa vile CUF wamejielekeza kususa uchaguzi huu tangu mwanzo lakini ZEC imewalazimisha kuwepo na kuyaweka majina ya wagombea wao kwa lazima, siku ya uchaguzi kupangwa baadhi ya wananchi wacheche kuwapigia kura wagombea wa CUF, hivyo ZEC kuhalalisha udhalimu wao, kuwa uchaguzi ilikuwa huru na wa haki, na matokeo ndio hayo yatakaoonyesha CUF imeshindwa vibaya!, hivyo kuna uwezekano CUF kama chama, wameamua, kuliko kusubiri aibu na kudhalilishwa kwa kushindwa vibaya, ni bora kufanya hujuma zozote ili uchahuzi usifanyike?!, hivyo kupanga, kuatibu na kutekeleza vitendo vya vurugu, uhalifu na ugaidi ili uchaguzi usifanyike?!. Ikithibitika CUF ndio ,mhusika wa haya, hakuna jingine zaidi ya kufutwa!.

Ila ikikutikana wanaofanya vitendo hivyo ni wana CUF individually kwa ridhaa zao wenyewe bila kushawishiwa wala kuratibiwa ba chama, then, CUF kama chama, kitabaki salama, na hao wanachama, individually watashughulikiwa kama wahalifu wengine wowote kwa sababu uhalifu ni uhalifu tuu, hauna chama, hauna dini, hauna kabila, hauna rangi wala jinsia, na wahalifu wote ni watu wa kulaaniwa jamii na sheria ichuke mkondo wake dhidi wahalifu hawa mapema, wasije kujiorganise wakaunda IS, Al Shabab na Al Qaeda yetu!.

Sheria zipo lakini hazitekelezwi, ila kufuatia JK kuwa dhaifu, na serikali yake kuwa dhaifu, kuliwapa wahalifu mawanda mapana ya kutamba hadi kumchezea simba sharubu na hakufanya lolote, zaidi ya kuitisha vikao vya maridhiano na miafaka, hizi nyakati za sasa zimebadilika, nyie mliozoea kuchezea sharubu za simba dhaifu, msijaribu kuchezea sharubu za huyu simba aliyepo, huyu sii simba yule wa kucheka na ngedee na kuyavuna mabua!, sasa nyakati zimebadilika, hili ni angalizo tuu nawapa, mlipokee au mlipuuzie, yakitokea ya kutokea, msilalamike kuwa hamkuambiwa!.

Ila pia kuna uwezekano, kwa vile CUF wamesusa, then mhalifu huu unafanywa na CCM kwa mtindo wa "self inflicting pain" ili ionekane ni CUF, ambapo CCM ni maajenti wa kitu kinachoitwa "An agent provocateur ?!, ili chama dola kipate uhalali wa kuwashukia?!. Na kama ni CCM ndio magaidi, jee nao watafutwa?!.

Kama ni CCM, hawatafutwa!, jee ni kwa nini CCM hawawezi kufutwa hata wakifanya lolote?!. Kulijua hili lazima ufanye homework kidogo kwa kauli ya Msajili wa vyama aliyepita, tena
Naombeni wana CUF, msije kunishutumu kuwa ninachuki na CUF, maneno kama haya ninayowaeleza leo, pia niliwahi kuwaeleza wenzenu na washirika wenu Chadema, na pia niliwahi kuyatoa kwa chama dola CCM!.

Chama Cha Demokrasia na Maendeleo, CHADEMA, Kufutwa Kwa Mujibu wa ...
Tuhuma Hii: CHADEMA Kuendeshwa Kwa Katiba "Fake" Ikithibitishwa ...

Chonde Chonde Rais Kikwete: Msimamo wa CCM wa Serikali Mbili ndio ...
Tahadhari ya hatari: CCM Imepania Kufanya Kinyume cha Maumbile ...

Wasalaam.

Pasco wa jf!.

ELEWA KUWA UNAWEZA KUFUTA CHAMA LAKINI SIYO WANACHAMA.

ZEC WAJARIBU ILI WAWEZE KUJUA KAMA CHAMA NI JINA AU NI WANACHAMA.
 
Back
Top Bottom