mgosani
JF-Expert Member
- Dec 25, 2014
- 1,005
- 1,136
Mkuu mimi nakubaliana nawe kwenye andiko la rasimu lina kasoro na makosa. SUMATRA waendele kupokea maoni ya wadau na kufanya Public hearing ya kutosha nchini siyo ile ya Dar-es-salaam pekee yake haitoshi.Sijui kama hii ni nakala ya andiko rasmi la kanuni husika, ila kama ndiyo, basi licha ya matatizo ya kutokutekelezeka kwa baadhi ya vipengele vya kanuni hizo, mathalani kumfutia leseni mmiliki kwa kosa la chombo chake kusababisha ajali iyenye kuleta vifo au majeruhi, lakini uandishi pia hauko makini. Kwa mfano na sababu gani kuwa na sehemu zingine chombo kinaitwa basi, na zingine kinaitwa gari?