Chama cha Wamiliki wa Mabasi chatangaza mgomo wa usafirishaji abiria na mizigo

mgosani

JF-Expert Member
Dec 25, 2014
736
500
Tonka lini umli ukawa ni kigezo cha driving. Mau mzima mwenye akili timamu na aliefuzu mafunzo ya driving analuhusiwa kufanya kazi pasipo ubaguzi. Kitengo umli ni ubaguzi. Katiba inasemaje kuhusu mtu mzima?. A wa wagome kweli. Dereva abolonge atajili afungwe. Ampuni ambazo wamiliki wanna share sawa? Dreva akibolonga nani anafungwa?. Washilikishwe kwanza Wamiliki. Tatizo wanaojadili na kutunga awajui iyo biashara. Tuliona wanaalika watu wasio ata na starlet katika mijadara. Gomeni tu kushinikika kusikilizwa.
Kigezo cha umri wa Dereva siyo jipya,na kwa taarifa umri wa kuanza kuendesha ni miaka 18,na kuanzia mwaka 2012 kama sikosei kwa madereva wa gari za Abiria ni lazima upitie vyuo vya VETA au NIT na upate cheti na hata madereva ambao walipata leseni miaka ya nyuma walihusika kwenda chuo.
Bongo tunadhani udereva si taaluma.
Hizi kanuni zililetwa na SUMATRA tarehe 02/3/2017 kwa wadau wa usafirishaji ilizitolewe maoni yao katika Ukumbi wa Mwalimu Nyerere Dar-es-salaam. Wawakilishi wa Taboa,Darcoboa, Road Safety Ambassodors, Chama cha kutetea wasafiri walikuwepo.
Angalizo hebu rekebisha ulicho andika katika bandiko lako.
 
Saidi mtaki

Member
Mar 1, 2016
18
45
kama sheria zipo mbona awazingatii tikety za mabas nyingi zimeandikwa upotevu wa mzigo sio jukumu lao
 
Augustoons

JF-Expert Member
Oct 31, 2007
411
195
fikiria barabara ya mwanza kigoma unasema bus liwe na dust bin huku ni kukosa akili, kwanza litakaaje barabara ilivyo mbovu, barabara ya geita kahama hilo dust bin kweli litakuwa na hali gani? hizo kanuni zinawabana wamiliki sasa mmiliki ana gari zaidi ya hamsini atafatiliaje kuhakikisha uchafu unamwagwa kwa kila gari kwa wakati?
Kwa hiyo kama sio hivyo, abiria wanapokuwa njiani watupe uchafu ndani ya basi? mbona hili kimi sioni kama ni gumu? mara nyingi tu nimesafiri na mabasi nimekuta yana dustbin na mkifika hotelini kondakta anatoa anakwenda kutupa takataka safari inaendelea. Mie nadhani hili ni la kimaendeleo. Labda tunaliona kw auzito tofauti, ni maoni yangu tu hayo
 
eddy

JF-Expert Member
Dec 26, 2007
13,719
2,000

tatizo hili linaweza kutumiwa kukomoana, bus linaweza simamishwa kabla hawajafika sehemu ya hotel na limejaa uchafu trafik anakomaa hilo bin ni chafu tayari anadai laki.
 
casanova69

JF-Expert Member
Sep 14, 2015
1,969
2,000
kwenye mgomo wateja ndio wataathirika na wao itawagharimu.mfano ulishaingia mkataba wa kusafirisha mzigo wa mamilioni kesho eti wanakwambia wamegoma hahaa hiyo ipo kwenye mkataba izo movement za luddism na chartism zilishapitwa na wakati.watume wawakilishi huku waendelee kupiga pesa
 
Iwilliam

Member
May 10, 2015
85
125
Hivi kwanini hii nchi mambo muhimu mpaka migomo, kwanini kila mtu asisimame kwa nafasi yake, kwanini mashirika yasi fanye maamuzi sahihi bila kushinikizwa?
 
Consultant

JF-Expert Member
Jun 15, 2008
9,899
2,000
Wapo sahihi, lakini "timing " sio sawasawa, why karibu na sikukuu?
This is the best timing. Outcry iwe loud and probably clear kwa watawala. Labda watafanya changes.

Yaani driver afanye accident (hata kwa bahati mbaya maana sometimes haina kinga) then niende jela mimi mmiliki? This is insane!
 
Yodoki II

JF-Expert Member
Oct 17, 2014
5,223
2,000
Pamoja na yote, bado mahakama itafanya kazi yake.

Km dreva atapewa uniform na mwajiri akahakikisha toka mwanzo ameivaa, yeye akafika njiani akaivua, hapo liability itakuwa upande wa dreva.TATIZO ni tafsiri ya rasimu ya sheria ambayo bado hata ikienda bungeni, kasoro zitabainika na zitarekebishwa tuu.Na uzuri wa hili swala halina masilai yoyote kisiasa na hivyo hakutakuwa na shida kujadiliwa
 
Nyangomboli

JF-Expert Member
Nov 24, 2010
3,215
2,000
Ndiko wanasheria wetu walikofika
Hawa wamiliki wa mabasi wanakimbia majukumu yao. Anaeajiri ni wao. Wahakikishe wanaajiri watu sahihi na kuwapa masharti ya kazi. Kama ni penalt watapanga wao na wajiriwa wao. SUMATRA wako njema sana kwa rasimu hii.
 
SDG

JF-Expert Member
Feb 28, 2017
7,644

Kosa la dereva linamwangukiaje mmiliki,inawezekana huna gari so hujui uchungu wake ila utakuja kumilik ndo utaelewa.
Hata mie sina gari ila sheria hyo ni kandamiz
Haya Kamat ya Katiba na sheria iliukataa muswada ikasema urudishwe kwa wadau ukajadiliwe why serikali isiwashirilishe?Kabla sheria haijapitishwa sheria zishavunjwa utaratibu wadau washiriki,
 
Kajolijo

JF-Expert Member
May 30, 2016
3,380
2,000
Chama cha Wamiliki wa Mabasi(TABOA) kwa kushirikiana na Wamiliki wa Malori na Chama cha Wasafirishaji Mkoa wa Dar es Salaam kimetangaza mgomo wa usafirishaji abiria na mizigo nchi nzima kuanzia siku ya jumatatu ili kushinikiza serikali kutopitisha sheria ya usafirishaji inayotarajiwa kusomwa mara ya tatu na kupitishwa siku ya Jumanne wiki ijayo.

Akitoa maazimio hayo yaliyofikiwa katika mkutao mkuu maalumu wa chama cha wamiliki wa Mabasi, Malori, Daladala na Baji, katibu mkuu wa TABOA Bwana. Eneo Mrutu amesema sheria inaloyolenga kupitishwa haikuwashirikisha wadau na haitenganishi makosa ya dereva na mmiliki, hali inayosababisha kosa lililofanywa na dereva linasababisha mmiliki kufungwa jela.

Aidha amewaomba wabunge bila kujali itikadi za vyama vyao kutopisha sheria hiyo mpaka ifanyiwe marekebisho kwa kuwa inalenga kuharibu sekta ya usafirishaji nchini.

Chanzo: ITV
Sasa wanagoma nini mbona sioni tatizo
 
mgosani

JF-Expert Member
Dec 25, 2014
736
500
This is the best timing. Outcry iwe loud and probably clear kwa watawala. Labda watafanya changes.

Yaani driver afanye accident (hata kwa bahati mbaya maana sometimes haina kinga) then niende jela mimi mmiliki? This is insane!
Mkuu Consultant
Naomba usome hiyo rasimu ya kanuni inayogomewa kisha toa ushauri

Kanuni hizi hapa

KINACHOSABABISHA MGOMO WA WAMILIKI WA MABASI NCHINI NI MAJUKUMU MAPYA KWA WASAFIRISHAJI AMBAYO WAMILIKI WANAYALALAMIKIA CHINI YA KANUNI MPYA ZA SUMATRA.Majukumu haya yanapatikana katika rasimu ya Kanuni mpya za Usafirishaji Abiria (THE TRANSPORT LICENSING (PUBLIC SERVICE VEHICLES REGULATIONS 2017 Kifungu cha 21)
WAJIBU WA MMMILIKI/MWENYE LESENI/MTOA HUDUMA
Mtoa huduma anatakiwa kuhakikisha yafuatayo kwenye gari na watumishi wake.
(a) Gari lake ni zima na linafaa kwa huduma.
(b) Dereva wa gari lake linalofanya kazi kama daladala au gari binafsi la kukodishwa asiwe chini ya miaka 25 na Zaidi ya miaka 60.
(c) Dereva wa gari linalotumika kama basi la shule au kusafirisha watu mkoa kwa mkoa hayupo chini ya miaka 30 na zaidi ya miaka 60.
(d) Dereva wake awe na leseni halali yenye madara.
(e) Dereva wake wa basi la mkoa kwa mkoa haendeshi gari kwa zaidi ya masaa nane mfululizo na haanzi kazi tena hadi awe amepumzika wala masaa sita.
(f) Kwa basi la mkoa kwa mkoa mtoa huduma ahakikishe, kuna dereva wa pili anayeweza kupokea usukani baada ya yule wa kwanza kuendesha masaa nane.
(g) Gari lake linalotoa huduma mkoa kwa mkoa liwe na mfumo wa ufuatiliaji mwendo (VTS) au kifaa kingine chochote cha kudhibiti mwendo.
(h) Gari lake la mkoa kwa mkoa liwe linafuata ratiba na kuwa na logbook.
(i) Basi lake linalotoa huduma kati ya mji na mji au nchi nan chi lisimame kwenye vituo vya basin a kwenye vituo vya mikoa.
(j) Anaandaa orodha ya abiria kwa kila safari nakala mbili, nakala moja inabaki ofisini nyingine iwepo kwenye basi.
(k) Wafanyakazi wake wote wanavaa sare safi na nzuri.
(l) Kwa basi linalotoa huduma kwenye mji na mji na nchi na nchi, wafanyakazi wake wawe na vitambulisho wakati wote vinavyoonekana wazi.
(m) Gari lake liwe na mikanda safi na inayofanya kazi.
(n) Kwenye gari kuwa na kisanduku cha huduma ya kwanza chenye dawa muhimu.
(o) Kwenye gari kuwe na dustbin na uchafu wote uwe unaondolewa kwenye gari.
(p) Anauza tiketi zake kielektroniki au kwa mfumo wa kawaida kama itakavyoelekezwa na mamlaka.
(q) Kwa upande wa daladala, mmiliki ahakikishe gari lake limepakwa rangi ya ruti na limeandikwa nauli upande wa kulia mwa gari.
(r) Kwa basi la shule kuwe na rangi ya njano na maandishi BASI LA SHULE.
(s) Basi lake halibebi abiria zaidi ya uwezo.
(t) Abiria wote wafunge mikanda wakati wote wa safari.
(u) Basi lake lisimame maeneo yaliyoidhinishwa na yenye huduma za choo.
(v) Logbook na ratiba vinatunzwa vizuri.
(w) Gari lake linatembea kwenye ruti iliyoandikwa kwenye leseni.
(x) Basi lake halikatishi ruti kabla ya kufika mwisho wa safari.
(y) Dereva na wafanyakazi wake wanatii na kufuata masharti haya ya leseni ya usafirishaji.
(z) Abiria waelezwe taratibu za kiusalama kabla ya safari kuanza.
(aa) Abiria anapewa tiketi halali.(bb)Tiketi zisiuzwe mahali pengine popote isipokuwa ofisini, kwenye ofisi ya wakala au ndani ya bus au kwa kutumia mfumo wa kielektroniki.
(cc) VTS, Tachograph na mifumo mingine yote haiharibiwi.
(dd) Abiria hawanyanyaswi.
(ee)Kutii masharti mengine kama yatakavyowekwa na mamlaka Kutotekeleza majukumu hayo hapo juu ni kosa kwa mujibu wa kanuni za SUMATRA na kila kosa hapo juu linajitegemea na lina adhabu yake.KUFUNGIWA AU KUSIMAMISHWA KWA LESENI YA USAFIRISHAJI.
Kwa mujbu wa kanuni ya 22 ya rasimu ya kanuni mpya, leseni ya usafirishaji inaweza kusimamishwa na SUMATRA endapo mmiliki atatenda makosa yafuatayo.(a)atarudia kosa hilo hilo kwa Zaidi ya mara mbili.
(b)atakataa amri halali kutoka kwa afisa wa SUMATRA
(c)atamzuia polisi au afisa wa SUMATRA kufanya ukaguzi kwenye gari
(d) atasababisha ajali itakayopelekea kifo au majeruhi.(e)sababu nyingine mamlaka itakayoona inafaa.
MAKOSA MENGINE KWA MMILIKI KWA MUJIBU WA RASIMU YA KANUNI MPYA
1.Kushindwa kutoa tiketi kwa abiria (Kanuni 26)
2.Kutoza nauli kubwa kuliko ile iliyoidhinishwa na SUMATRA (kif.25)
3. Kushindwa kutoa usafiri mbadala kwa abiria kulingana na masharti yaliyomo kwenye tiketi na kushindwa kusafirisha abiria ndani ya nusu saa bdaa ya muda wa kuanza safari uliondikwa kwenye tiketi.4.Kushindwa kurejesha nauli baada ya kushindwa kuwasafirisha abiria.
5.Kumtoza mwanafunzi nauli Zaidi ya nusu ya bei ya nauli ya mtu mzima
6. Kumtoza abiria nauli ya mzigo usiozidi kilo 20
7.Kutoweka alama yenye jina la abiria kwenye mzigo wa abiria
8. Kuwanyanyasa abiria ikiwemo wanafunzi.
9.Kutotunza mzigo wa abiria na kusababisha upotevu wake na kukataa kumlipa.
10. Gari kutokuwa na ratiba na logbook au kukataa kuionesha ilipotakiwa kuoneshwa.
11. Kukatisha ruti au kupita kwenye ruti isiyo ya gari hilo.
12. Kufanya biashara ya usafirshaji abiria bila kuwa na leseni ya usafirishaji ya SUMATRA

ADHABU
Makosa yote haya adhabu yake ni faini isiyopungua kiasi cha shilingi laki mbili (200,000) na isiyozidi laki tano (500,000) au kifungo cha muda usiopungua mwaka mmoja na usiozidi miaka miwili au vyote kwa pamoja.Hata hivyo kanuni zinaruhusu kuwa pale ambapo mmiliki atakapokutwa na kosa na kukiri kosa hilo, kulipa nusu ya faini kwa kosa husika bila kupelekwa mahakamani. Hivyo basi, kama faini kwa kosa ni shilingi laki mbili, mmiliki akikubali kosa kabla ya kupelekwa mahakamani ataandikiwa shilingi 100,000 (compounding), kama asipokubali na akakutwa na hatia mahakamani basi atalipa faini kamili au kwenda jela.

ZINGATIA
1.Mengi ya makosa yaliyotajwa hapo juu hasa katika kifungu cha 21 kabla ya kanuni hizi mpya kuandaliwa faini zake alikuwa analipa dereva. Kwa sasa SUMATRA ainataka kuondokana na utaratibu wa kukabiliana na dereva ambaye si mpewa leseni (Licensee) na badala yake ikabiliane na mmiliki ambaye ndiye mpewa leseni(Yaani aliyeenda kuomba leseni SUMATRA). Kwa hiyo mmiliki sasa ndiye atakuwa na wajibu wa kuhakikisha masharti ya leseni yanafuatwa.

2.Jedwali la nne la kanuni hizo mpya zimetenga makossa katika makundi mawili. Kundi la kwanza ni makosa yanayohusu mabasi ya mji kwa mji, maarufu kama mabasi ya mikoani. Hawa adhabu zao zinaanzia kati ya shilingi 100,000 hadi 250,000. Vivyo hivyo kwa upande wa kundi la pili la makossa yanayohusu mabasi ya mijini maarufu kama daladala, adhabu kwa makossa yao ni kati ya shilingi 100-250,000 kutegemeana na kosa.

3. Hizi ni kanuni tu, yaani sheria ndogo ndogo zinazotungwa chini ya sheria mama ya utoaji leseni kwa kiingereza TRANSPORT LICENSING ACT,Cap. 317. Kiuratatibu kanuni hizi huwa hazipelekwi bungeni kwa njia ya muswada(bill), bali kanuni hizi hupelekwa kwenye Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Sheria Ndogo ambako zikishapitiwa na kujiridhisha zinapelekwa kwa Waziri wa Uchukuzi, ambaye akisha saini zinakuwa sheria, na kuanza kutumika rasmi.

4.Makosa ya dereva chini ya sheria ya Usalama Babarabarani yaani ROAD TRAFFIC ACT cap.168, kama vile kuovateki vibaya, kutofunga mkanda, kuova spidi,kugonga na kuua au kujeruhi, nk yanabaki kama yalivyo na hayawi makossa ya mmiliki.Natumai hadi hapa utakuwa umepata kufahamu kuhusu baadhi ya mambo yanayoletwa na kanuni hizi mpya na ambayo yanalalamikiwa na wamiliki wa mabasi kiasi cha kutaka kufanya mgomo. Hivyo utaweza kushiriki mjadala wake kiurahisi.
KARIBUNI TUENDELEE NA MJADALA.RSA TANZANIA-USALAMA BARABARANI NI JUKUMU LETU SOTE.

Kanuni hizi nimezitoa kwa Mwanajamvi
Augustoons
 
omben

JF-Expert Member
May 30, 2012
795
500
Mkuu Consultant
Naomba usome hiyo rasimu ya kanuni inayogomewa kisha

Kwa mujbu wa kanuni ya 22 ya rasimu ya kanuni mpya, leseni ya usafirishaji inaweza kusimamishwa na SUMATRA endapo mmiliki atatenda makosa yafuatayo:(a)atarudia kosa hilo hilo kwa Zaidi ya mara mbili.

Mbona ipo vizuri. Sijaona ubaya wowote kwenye huu utaratibu mpya.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom