Chama cha Wamiliki wa Mabasi chatangaza mgomo wa usafirishaji abiria na mizigo

zunya

JF-Expert Member
Sep 2, 2014
1,272
2,000
Wapo sahihi, lakini "timing " sio sawasawa, why karibu na sikukuu?
timing yenyewe hiyo mkuu...
yani tunyororoke hadi tufwee, tena afadhari maana mama mkwe alikua ashaanza kunipiga mizinga eti oooh nitumie hela nije kula joto kidogo, sasa wakigoma ndo pona yangu!!!
haaaa haaaa
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom