Chama cha wafanyakazi kinamkata mwanachama 2% ya mshahara, sio 3%Walimu sijui nani katuroga jamani majengo kila mkoa yamejengwa benki zimeanzishwa bado mwalimu anakatwa asilimia 3% sijui ya nini jamani walimu inatosha tuamke.chama kwa sasa kinahela nyingi inayonufaisha wachache.