Chama cha siasa kinaweza kuwasamehe watu waliokusudia kutenda jinai (kuteka mtu)?!

hivi unajua ishu ya mo ina uzi wake maana soon utaleta ya lisu then ya saanane hapa mmekamatwa uchawi naona mnalukaluka tu


ishu ni komu na kubenea kuteka watu
Hivi vyama vya upinzani viangaliwe kwa umakini mkibwa!
 
Chadema wakipewa nchi watasamehe mafisadi wote, ona mfano walivyomsamehe fisadi Lowasa

Na kama hayo mauaji ya Boniface Jacob yangefanikiwa lazima wangesingizia serikali.

Hovyo kabisa
kwa hiyo Lowasa ni fisadi na amesamehewa na chadema na serikali imekaa kimya.hivyo chadema wakimsamehe mwizi wa mali ya umma serikali itakaa kimya
 
Back
Top Bottom