Chama cha siasa kinaweza kuwasamehe watu waliokusudia kutenda jinai (kuteka mtu)?!

Najiuliza tu.......na endapo chama hiki kitapewa dhamana ya kuongoza nchi patakuwepo na utawala wa sheria kweli?!!!!! Naomba niishie hapo tafadhali!
Mbona mmepanic sana?

Jinai zote zinashughulikiwa na vyombo vya dola na siyo Chadema.

Hivi intelligensia yenu huwa inaishia kukataza maandamano na mikutano ya kisiasa tu?

Kazi ya kushughulika na jinai ni ya jeshi la Polisi na siyo Chadema mbumbumbu wewe.
 
Kamanda usitetemeke ngoja wakili wenu Petro Mselewa aje anijibu!
 
Najiuliza tu.......na endapo chama hiki kitapewa dhamana ya kuongoza nchi patakuwepo na utawala wa sheria kweli?!!!!! Naomba niishie hapo tafadhali!
Ukisikia kuishiwa ndio huku..... Pale ulichiotamani kiwe kimekwama, unalazimika kulialia humu. Haikusaidii ndugu yangu. Ni maneno ya mkosaji tu hayo.....
 
Chadema wakipewa nchi watasamehe mafisadi wote, ona mfano walivyomsamehe fisadi Lowasa

Na kama hayo mauaji ya Boniface Jacob yangefanikiwa lazima wangesingizia serikali.

Hovyo kabisa
 
Najiuliza tu.......na endapo chama hiki kitapewa dhamana ya kuongoza nchi patakuwepo na utawala wa sheria kweli?!!!!! Naomba niishie hapo tafadhali!
Serikali makini inaweza shindwa kuwashitaki watu waliokiri hadharani kupanga kutenda jinai??
Je hii vipi? Serikali inaweza kuwateka RAIA wake au kuwapoteza???
 
Back
Top Bottom