Chama cha siasa kinaweza kuwasamehe watu waliokusudia kutenda jinai (kuteka mtu)?!

Jinga kabisa wewe hata kama unalipwa ndio uje na bandiko la kipopoma hivi? Nini maana ya democracy?
 
Mbona mmepanic sana?

Jinai zote zinashughulikiwa na vyombo vya dola na siyo Chadema.

Hivi intelligensia yenu huwa inaishia kukataza maandamano na mikutano ya kisiasa tu?

Kazi ya kushughulika na jinai ni ya jeshi la Polisi na siyo Chadema mbumbumbu wewe.
Tatizo la PAKA wa Lumumba huwa wanaona kuwa Serikali, Jeshi, Police nk ni mali ya CCM ...... hivyo wanafikiri kuwa CDM nao wanatakiwa wawe na vyombo vyao!!
 
Chadema wakipewa nchi watasamehe mafisadi wote, ona mfano walivyomsamehe fisadi Lowasa

Na kama hayo mauaji ya Boniface Jacob yangefanikiwa lazima wangesingizia serikali.

Hovyo kabisa
kama magu alivyowasamehe mafisadi chenge,lowassa na wezi wa nyumba za serikali
 
Najiuliza tu.......na endapo chama hiki kitapewa dhamana ya kuongoza nchi patakuwepo na utawala wa sheria kweli?!!!!! Naomba niishie hapo tafadhali!
Kwani iyo CCM inafanya nini kila siku mbona inateka watu mbona haichukui hatua, unapumuliwa kichogoni nini
 
Back
Top Bottom