Chama cha siasa kikubwa kuliko vyote Tanzania ni CHADEMA

Chama cha siasa kikubwa kuliko vyote Tanzania ni CHADEMA

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
50,136
Reaction score
96,161
Chadema ndicho chama pekee kikubwa kuliko vyote ambacho kina support ya wananchi kwa mapemzi ya kutoka moyoni.

CCM iko kwa sababu ya polisi ma watu kutafuta RIZIKI. CCM ikitoka madarakani hutamuona mtu kule.
CHADEMA IPO BILA RUZUKU, BILA BIASHARA LAKINI WATU WANAIKIMBILIA NA KUIAMINI NA KUICHANGIA TONE TONE. WAKIWA NA IMANI KUWA INATETEA MUSTAKABALI MWEMA WA NCHI YA TANGANYIKA/TANZANIA.

It is a matter of time CCM itakuwa kama KANU, ZANU na vingine kama hivyo

CHADEMA NI IMANI
 
Chadema ndicho chama pekee kikubwa kuliko vyote ambacho kina support ya wananchi kwa mapemzi ya kutoka moyoni.

C iko kwa sababu ya polisi ma watu kutaguta RIZIKI. CCM ikitoka madarakani hutamuona.mtu kile.
CHADEMA IPO BILA RUZUKU, BILA BIASHARA LAKINI WATU WANAIKIMBILIA NA KUIAMINI NA KUICHANGIA TONE TONE. WAKIWA NA IMANI KUWA INATETEA MUSTAKABALI MWEMA WA NCHI YA TANGANYIKA/TANZANIA.

It is a matter of time CCM itakuwa kama KANU, ZANU na vingine kama hivyo

CHADEMA NI IMANI
ngoja chawa wa lumumba pombe za jana ziishe kichwani waamke na hivi wamepata posho ya xmas na mwaka mpya ....watasema HAKUNA.
 
Huo ndio ukweli, cccm imebaki kufosi tu ila haupendwi for real kama miaka ya nyuma...na kwa mwenendo huu wa samuya by 2030 itajifia mazima!.
Hata uchaguzi wa majuzi ungekuwa huru & haki kiukweli na Lissu awemo samuya angeambulia aibu...imagine alishindana peke yake na bado raia zikagoma kutoka kwenda kumpigia kura...hii ni maajabu!!.
 
Back
Top Bottom