Chama cha Mapinduzi (CCM) ni chama cha ajabu sana

LESIRIAMU

JF-Expert Member
Feb 12, 2008
8,721
13,959
Thomas Ole Sabaya leo Jumatatu Desemba 4, 2023 ameibuka mshindi katika nafasi ya uenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Arusha baada ya kupata kura 463 na kuwazidi wapinzani wake watatu.

Sabaya aliyewahi kuwa Mkuu wa Wilaya ya Serengeti ambae pia ni baba wa aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya amefanikiwa kushinda kiti hicho katika uchaguzi mdogo wa nafasi hiyo iliyoachwa wazi na Steven Zelothe ambaye alifariki dunia.

Msimamizi wa uchaguzi wa CCM, Anthony Mtaka, amesema walitarajia wajumbe 1,001 wapige kura lakini waliofanikiwa kutumia haki yao ya msingi ni 906.

Alisema kuwa wagombea wanne waliteuliwa na kupigiwa kura ambapo Sabaya ameshinda kwa kura 463 akifuatiwa na Daniel Palangyo aliyepata kura 374 huku Solomon Kivuyo akipata kura 59 na Edina Kivuyo akipata kura 10.

(Imeandikwa na Bertha Ismail)

#mwananchiupdates
#tunaliwezeshataifa

Huyu mzee aliwahi kuchomewa nyumba na wananchi Ngaramtoni Arusha kwa roho yake mbaya. Ati leo mwenyekiti.

Huyu ni baba yake na yule alie kuwa Dc wa Hai.
 
Wewe ni CCM?

Sema pia aliyewahi kuwa m/kiti ccm Mkaa hup marehema zelothe nae mwanae ni mkugenzi halmashauri moja hapo tanga

Siasa ni sayansi... usiyempenda kaja

Ooh Mara makonda
Oooh Mara sabaya

Mna cheza ngoma sio yenu

Mna takiwa kufurahia ccm kuweka watu ambao mna waona nyie hawa toshi kama hao wakina sabaya, makonda et al...
 
Thomas Ole Sabaya leo Jumatatu Desemba 4, 2023 ameibuka mshindi katika nafasi ya uenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Arusha baada ya kupata kura 463 na kuwazidi wapinzani wake watatu...
Sasa uajabu wake ni upi?
 
Thomas Ole Sabaya leo Jumatatu Desemba 4, 2023 ameibuka mshindi katika nafasi ya uenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Arusha baada ya kupata kura 463 na kuwazidi wapinzani wake watatu...
Acha ujinga, nyumba yake ilichomwa kwa hila tu kama ambavyo mmemfanyia hila mwanae
 
Mavi ya kale hayanuki.

After all, Watanzania wengi ni wasahaulifu sana. Hiyo ni political reincarnation
 
Thomas Ole Sabaya leo Jumatatu Desemba 4, 2023 ameibuka mshindi katika nafasi ya uenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Arusha baada ya kupata kura 463 na kuwazidi wapinzani wake watatu...
Nadhani wewe binafsi unaweza kua wa ajabu zaidi.

Yaani kushughulishwa na kufurukutwa moyo na mambo ya wenyewe ni kitu mbaya sana...
 
Baba hawezi kubebeshwa makosa ya mtoto, na pia mtoto hahusiki na matendo ya baba.

Kwanini mnakuwa na roho mbaya kiasi hiki?
 
Thomas Ole Sabaya leo Jumatatu Desemba 4, 2023 ameibuka mshindi katika nafasi ya uenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Arusha baada ya kupata kura 463 na kuwazidi wapinzani wake watatu...
Kitendo cha kumrudisha muuaji mkubwa Makonda kwenye mfumo wa uongozi wa CCM ni ishara kuwa CCM ni genge la kigaidi linalotumia mabavu ya vyombo vya dola kuendelea kutawala.
 
Kuna watu huwa mnaamini wanasiasa ni wajomba zenu. Mwanasiasa anawaza ushindi wa chama chake tu na ni wachache sana wanawafikiria wanaowaongoza au hata kuwa na aibu ya tutaonekanaje. Msitazame tu CCM,watazameni hata Wabunge 19 wa chama rafiki.Haki tutaipata mbinguni,hapa ni survival for the fittest.
 
Wewe ni CCM?

Sema pia aliyewahi kuwa m/kiti ccm Mkaa hup marehema zelothe nae mwanae ni mkugenzi halmashauri moja hapo tanga

Siasa ni sayansi... usiyempenda kaja

Ooh Mara makonda
Oooh Mara sabaya

Mna cheza ngoma sio yenu

Mna takiwa kufurahia ccm kuweka watu ambao mna waona nyie hawa toshi kama hao wakina sabaya, makonda et al...
DAS
 
Thomas Ole Sabaya leo Jumatatu Desemba 4, 2023 ameibuka mshindi katika nafasi ya uenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Arusha baada ya kupata kura 463 na kuwazidi wapinzani wake watatu.

Sabaya aliyewahi kuwa Mkuu wa Wilaya ya Serengeti ambae pia ni baba wa aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya amefanikiwa kushinda kiti hicho katika uchaguzi mdogo wa nafasi hiyo iliyoachwa wazi na Steven Zelothe ambaye alifariki dunia.

Msimamizi wa uchaguzi wa CCM, Anthony Mtaka, amesema walitarajia wajumbe 1,001 wapige kura lakini waliofanikiwa kutumia haki yao ya msingi ni 906.

Alisema kuwa wagombea wanne waliteuliwa na kupigiwa kura ambapo Sabaya ameshinda kwa kura 463 akifuatiwa na Daniel Palangyo aliyepata kura 374 huku Solomon Kivuyo akipata kura 59 na Edina Kivuyo akipata kura 10.

(Imeandikwa na Bertha Ismail)

#mwananchiupdates
#tunaliwezeshataifa

Huyu mzee aliwahi kuchomewa nyumba na wananchi Ngaramtoni Arusha kwa roho yake mbaya. Ati leo mwenyekiti.

Huyu ni baba yake na yule alie kuwa Dc wa Hai.
CCM NDIO INAWAPENDA WATU WAKATILI KAMA HUYO MZEE

Sent from my SM-A145R using JamiiForums mobile app
 
Sasa asubiri moto zaidi
 
Sasa hapa cha ajabu ni nini au kipi?.
Jee unajua kuna chama fulani Baba mtu ni mwanzilishi wa chama, akampa chama mkwe wake aliyemuoa binti yake!. Kwenye chama hicho, kuna kiongozi mwingine ni Mbunge, akamteua binti yake viti maalum, kama haitoshi akamteua na mkamwana wake, mke wa mtoto wake wa kiume, kuwa mbunge wa viti maalum!. Kati ya CCM ambapo mtu amechaguliwa kidemokrasia na chama uongozi wanapeana, kipi chama cha ajabu zaidi?.

Tena ningekuwa mshauri wa Lengai, wana Hai walimpenda sana alipokuwa DC wao, hivyo uchaguzi wa 2025 agombee ubunge Hai, maana akigombea Arusha, kwa jinsi ma chalii wa A-Town wanavyomkubali chalii wao, atashinda kwa kishindo, watu watapiga kelele kabebwa na Baba yake!.

P
 
🤮Ukiona hivyo ujue Magufuli kabadili jinsia tu na mambo yanaendelea kama kabla ya 2021.
 
Sasa hapa cha ajabu ni nini au kipi?.
Jee unajua kuna chama fulani Baba mtu ni mwanzilishi wa chama, akampa chama mkwe wake aliyemuoa binti yake!. Kwenye chama hicho, kuna kiongozi mwingine ni Mbunge, akamteua binti yake viti maalum, kama haitoshi akamteua na mkamwana wake, mke wa mtoto wake wa kiume, kuwa mbunge wa viti maalum!. Kati ya CCM ambapo mtu amechaguliwa kidemokrasia na chama uongozi wanapeana, kipi chama cha ajabu zaidi?.

Tena ningekuwa mshauri wa Lengai, wana Hai walimpenda sana alipokuwa DC wao, hivyo uchaguzi wa 2025 agombee ubunge Hai, maana akigombea Arusha, kwa jinsi ma chalii wa A-Town wanavyomkubali chalii wao, atashinda kwa kishindo, watu watapiga kelele kabebwa na Baba yake!.

P
Katika watu wa hovyo hapa jf, anaongoa luka mshamba akifuatiwa na paskal mayala njaa.
 
Back
Top Bottom