Karucee
JF-Expert Member
- Mar 11, 2012
- 18,146
- 34,190
Ewaaaaaa. 😂😂😂😂.Inde Monie.
Ewaaaaaa. 😂😂😂😂.Inde Monie.
kausha baharia wangu
Hakuna cha waongo na wakweli ukishajiita baharia wewe ni bogus tu.
Mnachafua dhana nzima ya mabaharia.. sisi kama mabaharia wa ukweli tunaosafiri na meli tunapinga vikali matumizi ya neno baharia kwa sababu hatuwezi kukaa kapu moja na wanaume wanao ogopa hata panya road, wanakula mahindi hadi yawekwe chumvi, wanajipodoa utadhani mwanamwali anatolewa posa, wanalipiwa pango na majimama..
Hii ni fedheha kabisa..
Tu ategemea kufungua kesi mahakama ya kisutu soon.. kwanza tundu lisu apate haki yake.
Sio mimi mkuu,ni clouds wenyewe.
Unajua roho zinawauma coz sisi mabaharia wengine tumekua mabaharia bila kusota saan na kukaa darasan mda mrefu.Baharia anazingua