Chama cha Kilaghai Tanzania...

Chama cha Kilaghai Tanzania...

yaakhe vipi wewe, nyoka hazai kunguru, bali huzaa nyoka, kwa hiyo usidanganyike, kama ccm ni mafisadi, basi nao wamezaa mafisadi.

Mbowe kalelewa ccm, slaa katokea ccm, mtei ni matokeo ya ccm, lema kanyonya ccm, lissu alikuwa chipukizi, chadema ni kizazi cha ccm na tanu.



Asante sana
 
Muuulize mwanachama wa chadema maana anatakwimu zote anaogopa kuZitoa maana atajulikana!!

Hakuna haki ya kuongea bila data; nimuulize mwanachama wa cdm mimi nawajulia wapi hao wanachama wa cdm? au kujibu huu uzi unaona mimi cdm mimi sio kabisa fatilia vizuri michango yangu mimi naangusha shoka kokote halafu unatakiwa ujibu swali huo ufisadi wa cdm ndio unarudisha nyuma maendeleo ya nchi? ndio unakalisha chini wanafunzi madawati hakuna? kwanini ukomalie vitu visivyokupunguzia shibe badala ya kupambana na yale ya wazi ya uporaji wa rasilimali za nchi?
 
Sijui kwanini hii dhambi ya ufisadi ipo kila kona!!! Sielewi chanzo!! Mnisaidie jamii forum

Chanzo cha maadili mabovu Chadema ni ukabila,udini,uzinzi na kupenda sana pesa kuliko utu na maslahi ya kitaifa.
 
Ukijiona wewe si Mchagga ndani ya CDM ujue umeingia choo cha kike,hata Arusha wanaosumbua ni Wachagga.Kwa Wachagga ukiwa wewe ni Mchagga alafu ni CCM wanakuona unapata Dhambi!!!!

Kale ka chadema, kameandaliwa maalum kwa wachaga, hata hao wanakaskazini wengine hawalijui hilo! Siku wakigundua ni too late!
 
Umeshapingilia huo umbea wako, weka paragraphs vizuri, acha nafasi kila inapobidi na appropriate punctuations then nitakujibu

Bado upo kwenye Elimu ya imla!! Kiswahili ni lugha tajiri sana na inakuwa kila kukicha na hii ndio style mpya ya kuandika bila kutumia tasihishi za zamani na hizi zinatumika hasa kwenye mitandao ya komputa sawa kijana!!!
 
INAWEZEKANA wala si la kushangaaa maana hata slaa akifukuzwa chadema ata rudi CCM

Na ndiko alikojuwa, aliponyimwa nafasi ya kugombea ndio akajiunga na saccos kwa mashariti magumu sana, sijui kama Mhe Mwenyekiti, Mbowe atamvumilia mara hii akikosa tena u rais!
 
View attachment 141083

Hapa nitaainisha baadhi ya mambo
yanayoiondoa CHADEMA usoni na moyoni mwa
watanzania wanaotaka chama kinachopinga
ufisadi.
1. Mmiliki wa jengo lililopangishwa na
CHADEMA Kinondoni kama ofisi za makao makuu na bei ya pango kwa mwezi vimefanywa
siri. Mara kadhaa swali hili limeibuliwa lakini
hakuna jibu lililoweza kutolewa na uongozi wa
CHADEMA.
2. Wanachama walioomba fursa ya kushiriki
tenda ya kununua magari ya chama wamenyimwa fursa hiyo na hatimaye tenda
hiyo imetolewa kwa usiri mkubwa. Chris Lukosi
amekuwa akishutumiwa kuwa sababu ya kujitoa
kwake CHADEMA ni kunyimwa tenda hii, lakini
pale wadau walipohoji baada ya Lukosi
kunyimwa tenda hiyo ni nani amepewa na kwa vigezo vipi?, kinaibuka kigugumizi.
3. Swala la Katibu Mkuu wa chama kujikopesha
mamilioni ya shilingi zilizochangwa na
walalahoi kwa ajili ya shughuli za chama.
Ikumbukwe kuwa watu waliochangia M4C
walifanya hivyo kwa vile waliamini kuwa michango yao itakiwezesha chama kujiimarisha.
Taarifa kuwa pesa zimetumika kifisadi
zimewavunja watu moyo.
4. Taarifa za Josephine Mushumbusi kulipwa
mamilioni ya shilingi za chama kwa kazi
anayoiita ya kujitolea. Wadau walihoji kuwa na wao wangependa kujitolea kwenye shughuli za
chama ili walipwe hayo mamilioni. Ilidhihirika
kuwa Josephine alipata fursa hiyo kwa
upendeleo.
5. Pesa za ruzuku zimekuwa zikiishia Makao
Makuu. Watendaji wa chama mawilayani wamekuwa wakifanya kazi bila nyenzo. Hii
ilisababisha mpaka kukawa na mtafaruku huko
Mpanda kwa kukosa ofisi ya wilaya ambayo
kimsingi ni jukumu la chama makao makuu
kuhakikisha chama kina ofisi za wilaya.
Ikumbukwe pia kuwa matumizi haya mabaya ya fedha yalikuwa sababu ya mvutano wa kisiasa
kati ya marehemu Chacha Wangwe na kiongozi
Mkuu wa Chama.
6. Kumekuwa na taarifa za matumizi mabaya
ya pesa za Sabodo jambo ambalo limeelezewa
kuwa sababu ya kumfanya Sabado kuahirisha ahadi yake ya kuijengea CHADEMA ofisi za
makao makuu na chuo cha siasa.
7. Katibu Mkuu wa CHADEMA ni miongoni mwa
washutumiwa wa ufisadi wa mamilioni ya pesa
za mradi wa maji wa Karatu.
8. Viti Maalum vya ubunge vimetolewa kwa upendeleo ambapo akinamama waliojitolea
kukijenga chama wameachwa pembeni na
nafasi hizo kupewa akinamama walio karibu na
viongozi wa juu wa chama. Hapa ikumbukwe
kuwa mwenyekiti wa Baraza la Wanawake la
CHADEMA (BAWACHA) wa Taifa alishinda nafasi ya uchaguzi wa viti maalum, lakini
akatolewa kwa kuambiwa kuwa hajakidhi vigezo
vya kuwa mbunge ingawa amewaongoza
wanawake wenzake kwa muda mrefu ndani ya
chadema. Wakati huohuo mwanamama
anayeishi Marekani, Leticia Nyerere amepewa Ubunge wa viti maalum kutokana na
"kufahamiana" na mwenyekiti wa chama. Hili
limewavunja moyo wengi walioanza kuiamini
chadema.
9. Vijana kama Kafulila walioonekana kuwa na
ari ya mabadiliko ndani ya chama wamekuwa wakinyimwa nafasi ya kugombea uongozi
kinyume na katiba.
10. CHADEMA kukanusha kauli ya Nape kuwa
wanapewa msaada na chama cha siasa cha
Ujerumani, baadae ikadhihirika kuwa ni kweli
wanapokea msaada huo. Hii imedhihirisha kuwa CHADEMA sio wawazi katika utendaji wao.
Wadau wanajiuliza chama hicho cha siasa
kinataka nini Tanzania mpaka kikipinge chama
kilichoasisiwa na wapigania Uhuru na kutaka
chadema iingie madarakani? Ikumbukwe kuwa
muasisi wa CHADEMA Mzee Mtei, alikataa kushiriki harakati za kupigania uhuru na pia
alikataa kujitolea kuijenga nchi baada ya Uhuru.
11. Hesabu za pesa zinazochangwa na
walalahoi kwa ajili ya M4C imekuwa ni jambo la
siri kubwa ndani ya CHADEMA

INAWEZEKANA wala si la kushangaaa maana hata slaa akifukuzwa chadema ata rudi CCM

Kwani jengo makao makuu si Mali ya chama?
 
Hiki chama kimejaa mafisadi wengi sana. Chakushangaza tumewafukuza huku ccm kwakuwa walitenda ufisadi wa kutisha wamekimbilia chadema na kuwa wasafi. Hiki chama ni kichafu na hakisafishiki.
 
Back
Top Bottom