holygrail
JF-Expert Member
- Mar 24, 2012
- 1,303
- 597
You can reject everything but not the facts!!...
Mimi sio muumini wa chama chochote and after all hili li nchi nishalikimbia kitambo sana. Nafuatilia mwenendo wa hichi chama kinaitwa CHADEMA kama chama kikuu cha upinzani!
Ambacho nimegundua mpaka sasa hivi:
1.kipo kimaslahi zaidi. Hakuna kiongozi mwenye uzalendo pale. Huyo sijui MBAWE ni mfanyabiashara mzuri sana na kawekeza miradi mingi sana kwa majina tofauti kupitia mgongo wa chama.
2.Viongozi wake wachafu sana kimaadili. Mtu ambaye kashindwa kuongoza familia yake hawezi hata kwa matambiko kuingia ikulu. Mtu una miaka 50+ eti bado una mchumba halafu unategemea kuwa raisi!...you are not serious!
3.Siasa uchwara. Chadema ni genge la wahuni tu. Hakuna siasa ya kisayansi pale. Miongozi inakurupuka tu kwenye kutoa maamuzi pasipo kuangalia uhai na mustakabali wa chama. Huwezi kumwondoa mtu muhimu kama kabwe eti kisa ameonyesha nia ya dhati ya kutaka mapinduzi katika chama. You are not serious!!
4.Vurugu ndiyo silaha yao ya msingi. Chama ambacho kinatumia vurugu kushinikiza matakwa yake kimekosa mandate ya kuingia ikulu.
Kama CHADEMA kina nia ya dhati ya kuingia ikulu basi kianze upya. Viongozi uchwara wote watolewe na wapewe nafasi watu wazalendo na wasomi.
Kama msipobadilika basi mjue kabisa hamtakuja kugusa ikulu ya nchi hii. Na kwanza naskia wananchi wameshawa dharau sana. Wanajaa kwenye mikutano yenu lakini wanawapigia kura CCM.
Nawasilisha.
Dr.holygrail rweyemamu
Mailmore,
UK.