Chama cha Kilaghai Tanzania...

Hivi nitakosea nikimuweka mleta mada kwenye kundi la book 7?

Tiba
 

Kinachofata kwa bavicha ni matusi tu!
 
Hivi nitakosea nikimuweka mleta mada kwenye kundi la book 7?

Tiba

Lini mtazinduka nyie misukule? Kila kitu kupinga tu, hata ukweli hamuutaki! Mtei lini aligombea uhuru?
 
Naandika kwa herufi kubwa.
>sina tatiza na wewe kama mwananchi wa kawaida,badala yake nailaani ccm iliyotunyima elimu na kuturithisha ujinga na utando ktk ubongo.
Mathalan mtu kama ww unaleta umbea kana kwamba hujui kuwa uzushi ni kaz ya mtu asiye jitambua/kilaza.
Unapoteza muda wote kuhadaa watu wakati huo hata ww huamin ktk bandiko lako,
mfano>unasema "kumekua na tetesi" weka ushaid acha kuvaa black glass in darkness.
 
Kila Mtanzania anaelewa kuwa matatizo ya nchi yamesababishwa na ccm.

Hizo propaganda zenu kuhusu Chadema zaidi ni kujifurahisha kwenye mitandao ya kijamii.

mtwambie kwa nini uchumi unaokua kwa kasi unamfanya mwananchi wa kawaida awe maskini zaidi.

Kikwete awachukulie hatua wauaji wa Tembo wetu, maana anawafahamu katangaza anamajina 40.

na amesema kuna kigogo mmoja yupo Arusha, ajabu kumbe na jk kuna raia wake anawaita vigogo wakati yeye ndio kigogo wa mwisho.!!

Leo mmekuja na Matoke ya kisiasa kwa wanafunzi wa kidato cha nne.

wananchi tunajiuliza mmenyafanya juhudi gani hadi wanafunzi kufaulu kwa 87%, kutoka aibu ya mwaka jana.?
 
Tayari nimeandika!! maana baada ya zito anafuata yeye!! Maana katumika sana kama zito Kabwe utamu ulivyoisha hawamtaki tena!

rafiki sijui kama unajua unayoyatete pale CCM

unafahamu kuwa kuna watanzania hawapati chakula cha mchana ..........na kuna mikataba ya ajabu kwenye madini yetu

ushawahi ona PPA yoyote viongozi wako wa chama walio sign

je unafahamu kuwa kuna kampuni inawauzia tanesco Umeme sent 6 za kimarekani sawa na shiling 97 za kitanzania lakini wewe unauziwa shiling 305 tshs

je unajua watu wa aina ganin wanatawala uchumi wa Tanzania

unafahamu watu dar -es - salaam less than 10% wanapata maji safi
 
Lini mtazinduka nyie misukule? Kila kitu kupinga tu, hata ukweli hamuutaki! Mtei lini aligombea uhuru?

Jamani hivi book 7 zinakutoa roho namna hiyo mpaka unatoa matusi? Vipi na mimi nikisema msukule ni mama yako?

Tiba
 
rafiki yangu Pascal Ndege shabikia CCM upate pesa lakini fahamu watanzania wanaumia kuna watanzania wanfanya kazi kwenye makampuni ya nguo wanalipwa less than 120000 wewe unashabikia CCM


 
Pasco weka elimu yako hapa

na kama degree holder nitajie chuo

kama UDSM naomba kozi

because niko na mashaka na uwezo wako wa kufikiri
 
Kumbe Chadema pale Ufipa wamepanga, ruzuku yote wanaochukuwa kila mwezi inakwenda wapi, wameshindwa kununua jengo lolote hapo mjini.

R.I.P

cha ajabu ruzuku yote ya chama inaishia makao makuu, viongozi wa wilayani na katani wanaambiwa wajitolee, chama hakina pesa
 
rafiki yangu Pascal Ndege shabikia CCM upate pesa lakini fahamu watanzania wanaumia kuna watanzania wanfanya kazi kwenye makampuni ya nguo wanalipwa less than 120000 wewe unashabikia CCM



kwa hiyo chadema ndio itawaongezea mshahara hao wafanyakazi mkuu, kama mshahara mdogo kwa nini hawaachi kazi?
 

Nadhani mabadiliko unaanza wewe mwenyewe maana ukiangalia waliyofanya makubwa duniani hawakupata msaada serikalini tena hata Elimu hawana!!! fikilia serikali inatoza 18% tu ya faida kama kodi wewe unakula 82% yote alafu unairazimisha serikali ijenge rami hadi mlangoni mwako! Bange hiyo!!

Hivi Yule mtoto wa dada yako umemlipia Ada ? Na Yule wa jirani yako? Au unakula bata tu. Na matoto yako mbumbumbu unayalipia mamilioni ya pesa! Unaacha kijana mwenye akili za kuzaliwa ambae anauwezo wa kuleta mabadiliko anauza chuma chakavu! Tegemea mabaya zaidi ya haya!! Tena usizengue
 
Hizi ni pumba mbona hutaji kiasi cha pesa? au unabuni? majungu tuuuu unataka waweke kila kitu hadharani kwani ni chama tawala hicho? mbona chama tawala mali zao huzijui? hata madeni ya nchi na makusanyo ya kodi huyajui? shida yako ni cdm hao ndio wanakuletea maisha bora? peleka u.j.i.n.g.a huko
 
sijui kwanini hii dhambi ya ufisadi ipo kila kona!!! Sielewi chanzo!! Mnisaidie jamii forum

yaakhe vipi wewe, nyoka hazai kunguru, bali huzaa nyoka, kwa hiyo usidanganyike, kama ccm ni mafisadi, basi nao wamezaa mafisadi.

Mbowe kalelewa ccm, slaa katokea ccm, mtei ni matokeo ya ccm, lema kanyonya ccm, lissu alikuwa chipukizi, chadema ni kizazi cha ccm na tanu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…