Chama cha Kilaghai Tanzania...

Chama cha Kilaghai Tanzania...

Kweli kwa uwongo hujambo.mradi wa maji ya karatu alileta dr slaa akakibidhi kwa wananch.mpka anaondok mrdi ulikuw salama
 
kutumia msiba wa mtu ktk propaganda za kisiasa ni usirikina na ushamba....
craap!
 
Kweli wanaojidai wakombozi ndo wao walaji hela,tuhuma hizi ni nzito wajipange.
 
Nataka ufafanuzi kwa hizi tuhuma
Kafulila , ni mbunge wa mahakama , anataka kugombea uongozi kupitia Chadema?
Pili, I, sualala ubunge wa viti maalum Muulize Kitila Ndio alikuwa Mwenyekiti wa hiyo kamati ya uteuzi na Ndiye aliyetengeneza formula wakati akiwa Chadema.

kuhusu mmiliki wa jengo , unaulizia jengo lipi maana Chadema ina milioni jengo la ofisi za makao makuu na imepangisha baadhi ya ofisi , wewe unaulizia ipi kati ya hizo?
Kuhusu, fedha ya ruzuku unataka kujua fungu lipi hasa , na ni kwanini mahesabu yawasilishwe kwa gamba kama wewe ? Na pia weak wazi kama wewe ni yule Pasu. Feki wa IT au ni yupi ili nikupe majibu ya hayo mengine.
 
View attachment 141083

Hapa nitaainisha baadhi ya mambo
yanayoiondoa CHADEMA usoni na moyoni mwa
watanzania wanaotaka chama kinachopinga
ufisadi.
1. Mmiliki wa jengo lililopangishwa na
CHADEMA Kinondoni kama ofisi za makao makuu na bei ya pango kwa mwezi vimefanywa
siri. Mara kadhaa swali hili limeibuliwa lakini
hakuna jibu lililoweza kutolewa na uongozi wa
CHADEMA.
2. Wanachama walioomba fursa ya kushiriki
tenda ya kununua magari ya chama wamenyimwa fursa hiyo na hatimaye tenda
hiyo imetolewa kwa usiri mkubwa. Chris Lukosi
amekuwa akishutumiwa kuwa sababu ya kujitoa
kwake CHADEMA ni kunyimwa tenda hii, lakini
pale wadau walipohoji baada ya Lukosi
kunyimwa tenda hiyo ni nani amepewa na kwa vigezo vipi?, kinaibuka kigugumizi.
3. Swala la Katibu Mkuu wa chama kujikopesha
mamilioni ya shilingi zilizochangwa na
walalahoi kwa ajili ya shughuli za chama.
Ikumbukwe kuwa watu waliochangia M4C
walifanya hivyo kwa vile waliamini kuwa michango yao itakiwezesha chama kujiimarisha.
Taarifa kuwa pesa zimetumika kifisadi
zimewavunja watu moyo.
4. Taarifa za Josephine Mushumbusi kulipwa
mamilioni ya shilingi za chama kwa kazi
anayoiita ya kujitolea. Wadau walihoji kuwa na wao wangependa kujitolea kwenye shughuli za
chama ili walipwe hayo mamilioni. Ilidhihirika
kuwa Josephine alipata fursa hiyo kwa
upendeleo.
5. Pesa za ruzuku zimekuwa zikiishia Makao
Makuu. Watendaji wa chama mawilayani wamekuwa wakifanya kazi bila nyenzo. Hii
ilisababisha mpaka kukawa na mtafaruku huko
Mpanda kwa kukosa ofisi ya wilaya ambayo
kimsingi ni jukumu la chama makao makuu
kuhakikisha chama kina ofisi za wilaya.
Ikumbukwe pia kuwa matumizi haya mabaya ya fedha yalikuwa sababu ya mvutano wa kisiasa
kati ya marehemu Chacha Wangwe na kiongozi
Mkuu wa Chama.
6. Kumekuwa na taarifa za matumizi mabaya
ya pesa za Sabodo jambo ambalo limeelezewa
kuwa sababu ya kumfanya Sabado kuahirisha ahadi yake ya kuijengea CHADEMA ofisi za
makao makuu na chuo cha siasa.
7. Katibu Mkuu wa CHADEMA ni miongoni mwa
washutumiwa wa ufisadi wa mamilioni ya pesa
za mradi wa maji wa Karatu.
8. Viti Maalum vya ubunge vimetolewa kwa upendeleo ambapo akinamama waliojitolea
kukijenga chama wameachwa pembeni na
nafasi hizo kupewa akinamama walio karibu na
viongozi wa juu wa chama. Hapa ikumbukwe
kuwa mwenyekiti wa Baraza la Wanawake la
CHADEMA (BAWACHA) wa Taifa alishinda nafasi ya uchaguzi wa viti maalum, lakini
akatolewa kwa kuambiwa kuwa hajakidhi vigezo
vya kuwa mbunge ingawa amewaongoza
wanawake wenzake kwa muda mrefu ndani ya
chadema. Wakati huohuo mwanamama
anayeishi Marekani, Leticia Nyerere amepewa Ubunge wa viti maalum kutokana na
"kufahamiana" na mwenyekiti wa chama. Hili
limewavunja moyo wengi walioanza kuiamini
chadema.

Kweli nimeamini pombe ni haramu, inaonekana Pasco kabla ya kuandika haya alipiga viroba vya kutosha!!
Kaandika kipombepombe! Siku nyingine kuwa macho makavu ndio uandike!
 
Nimeambiwa,nimeelezwa,nimedokezwa hivi nyie vimbulukutu kwanini mnaendekeza utaratibu wa mkiti wenu hamuwezi kujishughulisha hata kidogo ili mje na fact za hizo mnazo ziita tuhuma. Hivi unadhani mimi siwezi kuja na tuhuma kama hizo kwa maccm kwasababu kutunga ni kitu rahisi sana

Tunga sasa unasubiri nini?
 
Mimi sikubaliani na mtu anaesema cdm ni ya wachaga si kweli japo mm nilishatoka kwenye hicho chama kwani niliona napoteza mda wa mawazo yangu kupigania chama ambacjo viongozi wake na wawo ni mafisadi madicteta wasiosikiliza ushauri wawengine zaidi ya walewaliowazunguka na ufisadi umewatawala kuliko hata hao wa ssm nimebaki kama mtanzania asienachama na ndio tupo wengi nijuwavyo mimi mtu akikutuhumu kituflani wewe unatakiwa ujibu na ufafanue kile ulicho tuhumiwa nacho! Lakini naona matusi ndio yametawala kuliko kuchangia namtu anaetukana ujuwe hana sera kashindwa kidogo huyo HAKI SAWA naona kagusia lakini hakuna ufafanuzi kapata 10%100 ufisadi umetawala miongoni mwa wa tz juu hadi chini cdm wapo viongozi ambao huwambi kitu wao ndio wao kama kiongozi kweli mpenda democrasia unasogeza mbele uchaguzi wa ndani ya chama kwa siku isiojulikana kweli wewe utakuwa mwana mageuzi mpenda democrasi? Jb hapana cdm toka mwaka 1992 uchaguzi wa ndani ulifanyika kila baada ya miaka 5 sasa tafakuri ndani ya viongozi hawa kunanini inawezekana ukapenda tu kwa sababu umependa mapungufu ya viongozi usiajuwe nikosa sasa ziyo kabwe katoka cdm naninasema hayopo cdm namini hawezi yena kurudi cdm kwa sababu zilizojiyokeza ya kuitwa muhaini na mpenda uongozi lakini yeye aliwashutumu wenzake kwa sababu ya matumizi mabaya ya fadha za chama na uwezo wao wakuendeleza cdm umefika mwisho kuwa kunaitaji mabadiliko nakuna ufafanuzi wa jambo hilo zaidi ya kumuita mhaini mlafi sasa sijajuwa baada ya zito atakuwa nani kwani tumeona wangwe sasa zt sijuwi anaefata atakuwa nani? Huo ndio uongozi wa cdm bana
 
Nashukuru sana sana kwa ufafanuzi huo maana hata mimi nalijua hilo na linaonekana!
 
Mkuu hii picha yako ni kama anazikwa ni MM maana majembe yetu ndio yamebeba jeneza, kwa maana hiyo hawajafa,

Unamaanisha yule alizaliwa kigoma akazikwa Mbeya rasm!

Asante kwa picha hii RIP Mhusika Mkuu

Sijajua hii pix niyanani nilidhani Grafix tu! Ipo mtandaoni
 
Kumbe Chadema pale Ufipa wamepanga, ruzuku yote wanaochukuwa kila mwezi inakwenda wapi, wameshindwa kununua jengo lolote hapo mjini.

R.I.P
 
Back
Top Bottom