Chama cha Kilaghai Tanzania...

BAK, ndiyo maana nikasema Chadema kwa sasa wana nafuu sana katika vyama vyote vya Tanzania, ila wapo kwenye hali mbaya sana kwa mashambulizi kutoka CCM.

Rwakatale kwa sasa ndiyo wamemkaanga na itabidi awe mwangalifu zaidi kwenye mambo yake. Ila naweza kumtetea kuwa kwenye kitengo cha Usalama cha chama, inabidi uwe TOUGH na mzito hasa. Huko hakuna kuchekeana ili muradi usizidishe mpaka. Ukiona uuwaji unaoendelea hapa nchini na ulaghai, inabidi UMAFIA wakati mwingine ufanyike ili Wasaliti wajue kuwa Wakisaliti, basi cha moto watakiona - Ni jambo la kawaida hili hata VATICAN linafanyika.

Ukiangalia katika vyama vyote, unaona ni heri Tanzania itawaliwe na Chadema walau kwa miaka 5 ili CCM wajipange upya na waje na viongozi Imara na siyo waliopo sasa na hasa juu maana huku chini huwa ni Mkia.
 
Reactions: BAK

Mentality za ajabu sana
umafia utumike kwenye demokrasia?
 
Ndugu yangu BOSS, au unatania au hujafuatilia Siasa za mataifa yaliyoendelea.

Umeshawahi kumsikia mtu anaitwa Prime Minister OLOF PALME? usiseme ni Majambazi walimuuwa.

Nimeshasema zamani kuwa bila kumwagika damu, mabadiliko hayatakuja kutokea.

Tuombe Mungu tu wapigane wenyewe huko juu maana vinginevyo, Kenya na Rwanda itakuwa cha mtoto.

Mwisho wa siku kwa sisi tuliopitia JKT, inajulikana kabisa kabisa dhambi ya kusaliti ni RISASI.
Mentality za ajabu sana
umafia utumike kwenye demokrasia?
 
Si ajabu tukafika huko mkuu kwenye UMAFIA unaozungumzia. Hakuna aliyedhani kwamba tutafikia kuona mauaji yanayofanywa kidini nchini kwa kuwa tu mhusika ni wa dini hii au ile, lakini tumeyaona. Sasa pamoja na CCM kutumia vyombo vya dola katika kutimiza uharamia wake itafika wakati wanaofanyiwa uharamia wakachoka na wao kuanza kurudisha mashambulizi, hilo linaweza kabisa kutokea Mkuu Sikonge.

 

jibu hoja
 

Tuanze kuchambua hoja moja-moja.
Tuanzie namba 5. Kumaliza migogoro ya Ardhi nchini - Dodoma
Migogoro ya ardhi ndio kwanza inaongezeka.
Angalia hapa chini....

Serikali yakwama kumaliza mgogoro wa wakulima, wafugaji Rufiji

http://www.habarileo.co.tz/index.ph...i-chanzo-cha-migogoro-ya-wafugaji-na-wakulima
Upo hapo !!

Tukimaliza point hii, tunaendelea na namba 6. Wakulima kuacha kutumia jembe la mkono - Dodoma mjini
 
Kimbunga

ZeMarcopolo

Ritz

Tunaendelea na 'ahadi' zilizotekelezwa za JK.

Namba 6. Kumaliza matumizi ya jembe la mkono.
Hivi kweli 'amemaliza' , au 'ameanza kumaliza' matumizi ya jembe la mkono Tanzania ??

Angalia hapa chini...

Kilimo ndiyo uti wa mgongo wa uchumi wa Tanzania. Kilimo kinachukua takriban nusu ya pato zima la taifa na robo tatu ya bidhaa zote zinazouzwa nchi za nje. Pamoja na kutoa chakula, kilimo vile vile kinatoa ajira kwa asilimia 80 ya Watanzania. Sehemu kubwa ya kilimo Tanzania ni cha wakulima wadogo-wadogo (small-holder farmers, au peasants) ambao mashamba yao yana ukubwa wa kati ya hekta 0.9 na hekta 3.0 kila moja. Karibu asilimia 70 ya ardhi ya ukulima wa mazao inalimwa kwa kutumia jembe la mkono, asilimia 20 kwa kutumia maksai na asilimia 10 kwa kutumia trekta. Kilimo cha Tanzania ni cha kutegemea mvua. Uzalishaji wa mazao ya chakula ndio unaoongoza katika uchumi wa Kilimo.

Source: Tanzania National Website

[h=2]JK : Nitamaliza matumizi ya jembe la mkono.[/h] Na Fredy Bakalemwa , Kilwa Masoko
CHAMA cha Mapinduzi CCM kupitia kwa mgombea wa urais wa jamhuri ya muungano wa
Tanzania Dokta Jakaya Kikwete kimesema kimedhamiria kuwakomboa wakulima ili
waondokane na matumizi ya jembe la mkono hatua kwa hatua hasa kwa kuwakopesha
matrekta madogo na makubwa kupitia halmashauri za wilaya.
Dokta Jakaya Kikwete amesema ikiwa serikali iliyopo mdarakani itapata ridhaa ya
wananchi ili iendelee kuongoza Tanzania, wakulima kote nchini watakopeshwa zana
bora za kilimo
na kwamba ili kufanikisha azma hiyo viongozi wa halmashauri za
wilaya waweke utaratibu mzuri usio na upendeleo ili wakulima wanyonge waweze
kunufaika.
 
Last edited by a moderator:
Hivi unajua mwaka 1959 wakati Mzee Mtei anaajiriwa na serikali ya kikoloni ya mwingereza nchi ilikuwa katika harakati gani?

cc Mohamed Said

I dont live in the past but i respect and learn from it... Mwaka 1959 sikuwepo na haunisaidii chchote ila kwako if is a great deal je wewe utakuwepo mwaka 2100!!!?? Unajua harakati gani zitakuwa zinaendelea!!!??? Kizazi chenye mawazo ya Nyerere alisema, kama nyerere angekuwepo, mwaka 1959 ilikuwa lalalalala..............., lalalala...... kimekufa kimawazo. Kila siku kulaumu na kufikiri wazee walikosea hawakufanya hivi, hawakushiriki hikiii, dadadaaaa!! inaboaaa. wewe unafanya nini sasa ambacho wajukuuu wako watajivunia badala ya kunikumbusha mwaka 1959????!!!
 

Kumbe wewe ni miongoni mwa wale wasiojua umuhimu wa historia.
Haya endelea kulaghaika na chadema.

Mwenzako Mzee Mtei anakwambia mwaka 1954 hakuweza kushriki harakati za TANU za kupigania Uhuru kwa sababu alikuwa chuo kikuu anasoma wakati huohuo Mzee Mtei ni miongoni mwa waliomhamasisha Mnyika aache elimu yake ya chuo kikuu na kujikita kwenye shughuli za chadema.

"Akili za kuambiwa,..."
 

SO U THINK MNYIKA IS UNDER ACHIEVER!!! MNYIKA IS A ROLE MODEL AND SUCCESSFUL POLITICIAN!!!!, KULA VIJANA WENGI WAPO MTAANI NA NI GRADUATE NA HWAMFIKII HATA ROBO MAFANIKIO ALIYOFIKIA MNYIKA!!! WHAT DO U TELL THEM!!!!???? WAENDELEE KUSOMA WATAPATA KAZI NZURIIII!!!!!!!!!?? UNACHOJARIBU KUFANYA NI KUDISCOURAGE VIJANA WASIJARIBU KIZIFUATA NDOTOO ZAO ILA BAHATI MBAYA UNAMTUMIA MNYIKA KAMA MFANO WA KUPOTEA WAKATI WEWE NDIO ULIYEPOTEA. Tupo watu wenye vyeti vizuri na elimu nzurii tuu lakini hatuna uthubutu wa kufanya au hata uwezo wa kufikia robo ya yale ysaliyofikiwan na kina Mnyia Mbowe NA Zito. But it doesnt meann am nobody I good at what I do mfano kama ningekuwa Mwanasiasa ungekuwa unaniongelea sasa hivi kama unavyohangaika na CHADEMA, MNYIKA na MZEE MTEI WA ENZI ZA NYERERE. U SEE WHAT I MEAN!!!!??. UKIJA KWENYE FANI YANGU UTANIJUA TUU AU UTAAMBIWA KUHUSU UTENDAJI WANGUU WA KAZI. SO KUNIAMBIA NINA AKILI ZA KUAMBIWA IS AN INSULT. HAPO ULIPO UNAFANYA KAZI YA KUKOSOA KAZI ZILIZOFNYWA NA WANAUME WENZAKO NA UNASEMA UNA AKILI ZAKO MWENYEWE KWELII!!?? NIONYESHE ULICHOFANYA WEWE KWENYE SIASA AMBACHO TUNAWEZA HATA KUKUKOSOA KAKA.

KUBOMOA AU KUKOSOA NI KAZI RAHISI SANA NI WATU WACHACHE SANA WANA UBAVU WA KUJENGA NYUMBA ZAO WENYWEWE LAKINI KUBOMOA AU KUHARIBU NYUMBA NI RAHISI SANAA HATA MTOTO WA MIAKA MITATU ANAWEZA KUTEKETEZA GHOROFA KWA NJITI MOJA TUU YA KIBERITI. NINGEKUONA UPO VIZURI SANA KAMA UNGEKUJA NA UCHUMBUZI AU UNGEINGIA KWENYE HUO MFUMO UKAJITOLEA KUJENGA MFUMO WA SIASA AMBAO UNAUTAKA WEWE OTHERWIZE MCHANGO WAKO KWENYE KUJENGA SIASA ZA NCHI HII HAUPO NA NDIO MAANA UNAKAA KUWAONGELEA WATU WALIOFUKUZWA KWENYE VYAMA NA AMBAO HUKO WALIKOHAMIA HAWANA CHA TOFAUTI WANACHOFANYA ZAIDI YA KUKOSOA KULE WALIKOTOKA. aU UNIAMBIE HII NI MOJA KATI YA SERA ZA CCM (KUONGELEA CHADEMA?!! This is very possibble otherwise wasingepewa majukwaa ya kuongelaea kwenye chama chenye umri mkubwa na historia ndefU kama CCM.
 

Kamuulize Mzee Mtei kama kuna mtoto au mjukuu wake yeyote anayemshauri aache shule kwa sababu ya harakati za chadema.
 
Chadema wekeni wazi matumizi ya ruzuku na michango ya M4C mliowachangisha walalaoi.

Viongozi wa Chadema mmekwenda China kutengeneza pikipiki za Chadema kwa bei za kutisha mmekataa kuwafahamisha Wananchi gharama za pikipiki.
 
Tatizo la kulea viroba ndo hilo. Unaamua kukurupuka na hang over yako na kuamua kuleta ----- wako humu jamvini. Ukumbuke kuwa CDM ni chama cha ukombozi kwa hiyo utake usitake CCM lazima mn'goke ikiwa ni pamoja na wewe na chuki zako. Utabaki na akili yako mgando lakini CDM lazima ichukue nchi 2015
 
Epa, meremeta, deep green plus corruption = ccm
chadema wekeni wazi matumizi ya ruzuku na michango ya m4c mliowachangisha walalaoi.

Viongozi wa chadema mmekwenda china kutengeneza pikipiki za chadema kwa bei za kutisha mmekataa kuwafahamisha wananchi gharama za pikipiki.
 
Kamuulize Mzee Mtei kama kuna mtoto au mjukuu wake yeyote anayemshauri aache shule kwa sababu ya harakati za chadema.

Opportunity cost kaka!!!!!. UR URGUMENT ARE TOO SUBJECTIVE AND THEY LACK OBJECTIVITY. UTAKAPOKUWA TAYARI KUZUNGUMZIA MISIMAMO NA UTENDAJI KAZI NITARUDI. Mambo ya mtei na ushauri anaowapa wajukuuu wake kuhusu siasa is tooo low. Ila kwa kukumbusha tuuu Nyerere mwenyewe hakupenda kuwaingiza watoto wake mwenyewe let alone wajukuu tuu kwenye siasa.
 

Mkuu mimi nina hakika ameanza ni lweli hajamaliza lakini ahadi imeanza kutekelezwa. Nadhani katika utekelezaji huu kulikuwa na makosa ya kiufundi pale walipopeleka power tillers sehemu ambazo hazifai kulimwa kwa power tillers bali matrekta. Kuna mchakato watu wanakopeshwa matrekta kwa riba ndogo sana. Ndugu yangu amekopa na anatumia kulimia. Kuna hatua kubwa sana zimechukuliwa katika kutekeleza ahadi hii.

 

Uko sahihi kwa kutetea ulaghai wa JK na dola yake. Mimi ni mkulima nalima kwa jembe la mkono; wanangu wamefeli elimu sekondari siyo kwa kukosa akili bali kwa ulaghai wa JK na dola yake. Ni kweli tunasikia serikali imefanya lile au kile hata kama havituhusu. Suala la maji linatuhusu lakini barabara ya lami imepita kijijini kwetu wakati mazao ya shamba la jembe la mkono yanatosha kujikimu tu na wala si ya biashara.

HUO NDIO ULAGHAI SI ULAGHAI WA KUWAFUKUZA WAHUJUMU WA CDM, AU MAKOSA YA JINAI YA VIONGOZI WA CDM AMBAYO HATUJASIKIA WAMEHUKUMIWA ZAIDI YA POROJO
 

Sawa mlaghaiwa.
 

Mkuu kama unalima kilimo cha kijungu jiko trekta la nini?
 
Nashangaa sana kuona chadema kinatajwa chama cha kikaghai. tukumbuke watanzania tumejaliwa kua na kila kitu sio madini,arthi nzuri, milima na chochote utakachitaja kwa ajili ya maendeleo ya jamii yoyote.Tukumbuke chadema haijawahi kupata dola ili uipime. but chama kilichopo madarakani ndicho chanzo cha hali mbaya ya maisha ya mtanzania.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…